Nyashinski is back with a pinch of vengeance.

Nyashinski is back with a pinch of vengeance.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Tumezoea kuona marapper wanahit kwa miezi/miaka kadhaa kisha wana doda mazee.

Hapa nazungumzia kina Juliani mtoto wa Dandora ( wa Wakenya pamoja), Octopii( wa Blackstar..kibera No.8), Abbas ,n.k nguvu waliyokuwa nayo sokoni kwasasa imepungua.

Ila Nyashinski alivyorudi kwenye game naona ni hit tu baada ya hit japo hata kipindi yupo klepto alikuwa njema. Anauandishi wa kipekee na sio kuimba wala kurap anafunika.

Kizuri zaidi zile vuta ni kuvute za Baba yao vs Octopii kazizima.

NB : Wakenya mmekariri sisi watz ni watu wa kuponda vya kwenu ila hapa nasifia. Hongereni aseeh.
 
Ngoma iko njema sana, kachana vile wapenda muziki tunapenda, namtakia mafanikio mema kama ngoma yake ya malaika
 
Nyashinski nilivyosikia ngoma yake ya Now You Know ya kumtambulisha upya nikakubali ngoma ni kali inasikilizika mnooooo...

Ngoma tatu baada ya hii nikajua huyu amekuja serious kuchukua muziki wao na kuupaisha.

Sijui kwanini ila Kenyans mlikua na Camp Mullah walikua poa sana ila hawakufikia moto wa huyu jamaa ambao yeye kaufikia kwa muda mfupi tangu arudi.

Kenyans mna vichwa vya hip-hop.
 
Mwanzo unajua niliandikaje kwenye uzi!

marapper wengi wakali wa kenya hufanya game na kupotea ila nikaona utakuwa uwanja wa kubishana.. watazame wengi.

No 8 a pull soksi... Baba yao was my fav ila alipoanza kuimba sijui mazishi akanipoteza. Nyashinski ni kali yao
 
Daaah nyashski since election ya 2012 sikumsikia tena... Now karusi with bang[emoji95]
 
nyashisti ndo artist wa nchi gani mbna mim mdau wa music simufahamu #, guys update me who is
 
Daaah nyashski since election ya 2012 sikumsikia tena... Now karusi with bang[emoji95]
Karusi ako poa... ila Nyashinski ali quit kwa muda.

Alirudi two years ago... hakamatiki mazee angalia pale juu tracks zake au zama youtube.
 
Back
Top Bottom