Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Tumezoea kuona marapper wanahit kwa miezi/miaka kadhaa kisha wana doda mazee.
Hapa nazungumzia kina Juliani mtoto wa Dandora ( wa Wakenya pamoja), Octopii( wa Blackstar..kibera No.8), Abbas ,n.k nguvu waliyokuwa nayo sokoni kwasasa imepungua.
Ila Nyashinski alivyorudi kwenye game naona ni hit tu baada ya hit japo hata kipindi yupo klepto alikuwa njema. Anauandishi wa kipekee na sio kuimba wala kurap anafunika.
Kizuri zaidi zile vuta ni kuvute za Baba yao vs Octopii kazizima.
NB : Wakenya mmekariri sisi watz ni watu wa kuponda vya kwenu ila hapa nasifia. Hongereni aseeh.