Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mbona ni SAwa na majani ya mabingo bingo tu
Hayahitaji umwagiliaji wakati wa ukameUdongo wote hata dar
Jindaeni kupigwaUnapatikana wapi Mzee baba?
#YNWA
Inawezekana pia maana nchi hii siyo ya kuamini sana.Jindaeni kupigwa
Sina elimu nayo Sana zaidi ingia google utapata information zakeHayahitaji umwagiliaji wakati wa ukame
Wachina wanayatumia kwa ajili ya kutengeneza uyoga,nchi ya Fiji wanayatumia zaidi kwa ajili ya kulisha mifugo.Ni mazuri pia kuzuia mmomonyoko wa udongo.Afrika bado hayajasambaa vya kutosha.Hata kutengenezea gas au mafuta ya kupikia au kuendesha mashine ni mazuri
Inawezekana ila kwa kuwa najua ninacho zungumza ngoja niishie hapa inawezekana kuna ujuzi unachelewa kuwafikia wengneHapana wewe unazungumzia majani tembo/elephant grass au mabingobingo haya ni tofauti yanafanana kwa muonekano na majani tembo ila Juncao yana sifa ya ziada kama kutoa machipukizi mengi kwa kipindi kifupi,majani yake ni marefu na mapana,kutoa malisho mengi yanayoweza kufika tani 200 kwa mwaka kwenye eneo la ukubwa wa eka moja.
Jindaeni kupigwa
Sijui Ila unaweza kujaribu kuwapa,ukiona wananusa halafu hawali ujue siyo chakula chao.Hivi mianzi inaweza kutumika kama malisho ya ng'ombe?
Mtauza hadi mirundaUnapigwaje,wakati ni mbegu ambazo unakuja kununua mwenyewe.Usiwe na roho mbaya kiasi hicho,na usipende kuharibu biashara za watu.
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu hiyo picha ya kwanza ni juncao aina ya miwa sio?.
Jamii za napier zipo za aina nyingi sana na sasa hivi kuna tafiti mbalimbali zinafanywa kuyaboresha mfano kuna Bana grass,Super napier (Pakchong 1) nk.Inawezekana ila kwa kuwa najua ninacho zungumza ngoja niishie hapa inawezekana kuna ujuzi unachelewa kuwafikia wengne
Ila haya yapo na unayo yasema yapo
Zinaweza kukua na kuota vizuri maeneo kama dodoma?mbegu zinapatikana Kibaha,mtu anayehitaji tuwasiliane 0756625286,yanatumwa sehemu yoyote ya Tanzania.
Ni nyasi zinazotoa malisho mengi katika eneo dogo.Zinafanana na majani tembo lakini zenyewe ni matokeo ya mchanganyiko wa napier tofauti tofauti.
Zinaweza kukua na kuota vizuri maeneo kama dodoma?
#MaendeleoHayanaChama
Pumba laini za mpunga unaweza kuchanganya na pumba za mahindi unazichemsha na kuwapa nguruwe,Ila pumba za mahindi zinakuwa nyingi,kwa ng'ombe bado sijajaribu.kuna hii pumba fulani zinazotoka kwenye mpunga aisee yani gunia moja mpaka 10k huku tulipo wakenya wanapanda bei sijui kuna siri gani na zinapelekwa sana nje hizi pumba kwa ajili ya mifugo.
mkuu halafu jamaa wala haoneshi kunielewa.,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati napanda watu wengi walijua napanda miwa, hadi zinakuwa watu wengi walijua ni miwa.Inawezekana sikuelewi au wewe ndiyo hunielewi.Kama una swali uliza ili nikuelewe.mkuu halafu jamaa wala haoneshi kunielewa.