Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

Mbona ni SAwa na majani ya mabingo bingo tu

Haya yanakuwa kwa kasi na ni mazuri kwa faida nyingi tu
IMG_7202.jpg
 
Hapana wewe unazungumzia majani tembo/elephant grass au mabingobingo haya ni tofauti yanafanana kwa muonekano na majani tembo ila Juncao yana sifa ya ziada kama kutoa machipukizi mengi kwa kipindi kifupi,majani yake ni marefu na mapana,kutoa malisho mengi yanayoweza kufika tani 200 kwa mwaka kwenye eneo la ukubwa wa eka moja.
Inawezekana ila kwa kuwa najua ninacho zungumza ngoja niishie hapa inawezekana kuna ujuzi unachelewa kuwafikia wengne

Ila haya yapo na unayo yasema yapo
 
Inawezekana ila kwa kuwa najua ninacho zungumza ngoja niishie hapa inawezekana kuna ujuzi unachelewa kuwafikia wengne

Ila haya yapo na unayo yasema yapo
Jamii za napier zipo za aina nyingi sana na sasa hivi kuna tafiti mbalimbali zinafanywa kuyaboresha mfano kuna Bana grass,Super napier (Pakchong 1) nk.
Utafiti wa Juncao ulikamilika 1986 nchini China,lakini Afrika yameingia 2006 na Rwanda ilikuwa nchi ya kwanza kupanda. Tanzania kama sikosei yameingia 2019/2020.
Jun=Fungi.
Cao=Grass.
Mwaka 2017 nchi ya Papua New Guinea iliyopo Asia iliweka rekodi ya kuvuna tani 341.6 za majani mabichi ya Juncao kwenye eka moja na hicho ndicho kiwango kikubwa cha mavuno ya Juncao kilichorekodiwa hadi sasa.
 
mbegu zinapatikana Kibaha,mtu anayehitaji tuwasiliane 0756625286,yanatumwa sehemu yoyote ya Tanzania.
Ni nyasi zinazotoa malisho mengi katika eneo dogo.Zinafanana na majani tembo lakini zenyewe ni matokeo ya mchanganyiko wa napier tofauti tofauti.
Zinaweza kukua na kuota vizuri maeneo kama dodoma?

#MaendeleoHayanaChama
 
kuna hii pumba fulani zinazotoka kwenye mpunga aisee yani gunia moja mpaka 10k huku tulipo wakenya wanapanda bei sijui kuna siri gani na zinapelekwa sana nje hizi pumba kwa ajili ya mifugo.
Pumba laini za mpunga unaweza kuchanganya na pumba za mahindi unazichemsha na kuwapa nguruwe,Ila pumba za mahindi zinakuwa nyingi,kwa ng'ombe bado sijajaribu.
 
Back
Top Bottom