JS Dairy Farm
JF-Expert Member
- Feb 13, 2022
- 331
- 744
- Thread starter
- #141
Sawa,ninaanda andiko nitaliweka hapa 23/Dec.2023.Maelekezo kidogo mkuu kuhusu silage! Unaiandaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,ninaanda andiko nitaliweka hapa 23/Dec.2023.Maelekezo kidogo mkuu kuhusu silage! Unaiandaaje?
Inafanana na miwa ila siyo miwa.mbona kama miwa?
1.Eka moja zinaingia 245kgs,unaweza kununua kgs chache halafu ukawa unaendeleza mbegu zinazotoka shambani kwako,Mimi nilianza na 20kgs (July 2022)lakini sasa nina eka 20 za malisho ya Juncao.Kama hutojali, naomba ufafanuzi:
1. Eka moja itahitaji mbegu ya sh ngapi?
2. Spacing ya upandaji inapaswa iweje?
3. Utajuaje kuwa imeshakuwa tayari kuvunwa?
4. Isipovunwa on time inaweza kuharibika?
Mkuu, ahadi ni deni🙏Sawa,ninaanda andiko nitaliweka hapa 23/Dec.2023.
Nimeshashawishika kwa zaidi ya asilimia tisini. Huenda nikazihitaji siku za hivi karibuni.1.Eka moja zinaingia 245kgs,unaweza kununua kgs chache halafu ukawa unaendeleza mbegu zinazotoka shambani kwako,Mimi nilianza na 20kgs (July 2022)lakini sasa nina eka 20 za malisho ya Juncao.
2.Mita 1 kutoka shina hadi shina na mita 1 kutoka mastari hadi mstari.
3.Yakifikia urefu wa futi tatu unaanza kuvuna.
4.Unatakiwa uvune kwa wakati ili yasipoteze virutubisho,ukivuna yakiwa yamekomaa virutubisho vinapotea ingawa mifugo itakula lakini haitapata virutubisho vinavyotakiwa.
Mkuu, una deni ujue🙏Sawa,ninaanda andiko nitaliweka hapa 23/Dec.2023.
Nimeiweka kama thread inayojitegemea.Maelekezo kidogo mkuu kuhusu silage! Unaiandaaje?
Nilipoteza namba yako, naomba tuwasiliane.Mpaka wa Leo sijafanikiwa pata Mbegu zangu!!! [emoji20] Na ukaahidi kumitumia Tena chamsingi niandae nauli tu lakini kimya mpaka leo
Siyo steria hayo,nenda ka Google neno JuncaoKule kwetu masama kilimanjaro tunaita sitelia aisee ukimpa ngombe ananatoa maziwa mengi balaa
Mkuu 1kg ya JUNCAO unaweza kupanda kwenye shamba lenye ukubwa gani?Wakati napanda watu wengi walijua napanda miwa, hadi zinakuwa watu wengi walijua ni miwa.Inawezekana sikuelewi au wewe ndiyo hunielewi.Kama una swali uliza ili nikuelewe.