JS Dairy Farm
JF-Expert Member
- Feb 13, 2022
- 331
- 744
- Thread starter
- #101
Siteria ni tofauti sana na Juncao:Jina la kisayansi la siteria ni Setaria sphacelata na jina la kisayansi la Juncao ni Pennisetum purpureum XP.typhoideum .Hata mie nimeona kama masteria tu maana hata upandaji wake upo kama wa masteria.Tokea nakua naona yanapandwa kwa Bibi yangu Arusha.Yanakatwa yanalishiwa mifugo then yanachipua tena.Walikua wanayakuza kwa kunyweshea maji ya mfereji.
Pia unaweza ku Google hii habari ipo kwenye tovuti ya SUA(ina maelezo kuhusu nyasi za Juncao): Ugandan ambassador visits SUA,commends the Juncao grass technology.