JS Dairy Farm
JF-Expert Member
- Feb 13, 2022
- 331
- 744
- Thread starter
- #81
Siyo hayo, Ila yanaweza kuwa yanafanana kwa sababu Juncao ni matokeo ya utafiti kati ya nyasi jamii ya napier zinazopatikana Afrika .Juncao yamefanyiwa utafiti China,Afrika yameanza kuingia 2019.Tukuyu majani haya ......kila mwenye ng'ombe ...
Lazima apande ...coz husaidia Sana kwenye ulishaji wetu ( zero grazing)
Maajabu yake majani haya hustawi zaidi kipindi Cha kiangazi heavyweight [emoji23][emoji23]
Tukuyu majani haya tunaita ( kigugu).......
Sifa yake kubwa ni kutoa malisho mengi katika eneo dogo,urefu,upana wa majani na kiwango kikubwa cha vitamin kilichopo katika nyasi hizo.