Nyayo za Lucy hizi hapa zimejaa mbigili

nonsense
 
HAYA LAND HOV stakehigh Tlaatlaah gallow bird huundio ujinga unaofanywa na genge lililojipa kura 31m!
 
Muislam mwanamke akiolewa jina la baba yake linakuwa hilo hilo, jina la mume haliwezi kuwa jina la baba la mke. Mambo hayo ni ya wakiristo sio kwa Muislam
Kuna aina mbili za kubadilika kwa jina ...kuna kubadili jina kindoa na kubadili jina kikawaida ...unaweza kutumia njia zote mbili ..kwani katika uislam kuna majina ya kiislamu na kikristo ? Haya sini mambo ya kutengenezwa tu yaliyo nje ya dini ....kwani huyo lucy asinge badili jina hata la kwanza ilikuwa ni kosa kuolewa na muislamu? HOJA YA MAJINA YA KIISLAMU NA KIKRISTO NI YAKUTUNGWA NJE YA DINI ...HATA JINA MUHAMMAD LILIKUWEPO KWA WAARABU KABLA HATA YA MTUME WENU MUHAMMAD KUPEWA .. NI MUNGU GANI NDANI YA UKRISTO AU UISLAMU ALIYE TOA ORODHA YA MAJINA YA DINI? NITAJIENI HIYO ORODHA INAPATIKANA KWENYE AYA AU SURA GANI YA VITABU VYA TORATI AU INJILI AU MSAHAFU ....Je jina kama Hadija ni jina la kiislamu? Mbona mkewe MUHAMMAD alikuwa anaitwa hadija hata kabla ya kuwa muislamu? Je jina Omary ni jina la kiislamu? Mbona yule omary swahaba wa mtume kabla ya kuwa muislamu alikuwa anaitwa omary. KIDINI HAKUNA MAJINA YA KIISLAMU WALA KIKRISTO WALA KITORATI ....JINA NI JINA TU ....MAKAFIRI WA KIDINI NDIYO MLIO LETA HAYA MAMBO ZA MAJINA YA DINI.
 
relax bas mkatukumeni wakati fuska kitima na mropokaji ruwaichi wanapelekewa moto na akina lucy
kitima anaongelea wanachi sisi na anachoongea kitima ndio uhalisi wa maisha yetu mtaani kwann hamtaki apaze sauti zetu?? alafu ameongea akatulia sema imewachoma sana hadi mnabwabwaja hao wakatoliki wasiojua kusali si wakazi gani??
 
Kwa kutumwa vile watamjengea nyumba ya thamani gani? Watamnunulia gari la thamani gani? walinzi wa aina gani watampatia?
 
kitima anaongelea wanachi sisi na anachoongea kitima ndio uhalisi wa maisha yetu mtaani kwann hamtaki apaze sauti zetu?? alafu ameongea akatulia sema imewachoma sana hadi mnabwabwaja hao wakatoliki wasiojua kusali si wakazi gani??
Yes,
kiuhalisia kitima ni fuska aliekubuhu, aliwashughulikia sana mastudents pale SAUT na sasa anadeal na wake za waamini wake jimbo katoliki la Dar es salaam,

Ruwaichi daima ni jasiri ila kajichanganya kwa uropokaji na sasa anateseka kisaikolojia kwakua tayari kanisa katoliki jimbo kuu la dar es salaam limegawanyika.

kuna walio upande wa fuska kitima na mropokaji ruwaichi kama vile wewe, na kuna wale walei wanaokerwa na siasa madhabahuni ambao wengi wapo upande wa Lucy.

Mtanange ni mzuri sana na kwakweli unafurahisha mno jamii ya wanasiasa
 
usichezee wale watetea haki mtaumbuka mapema sana
wanatetea haki ya ngono na ulawiti wa makasisi wa kikatoliki kwa vijana wadogo au haki ya kuingilia ndoa za waamini wao kingono? au haki ya mapdre kuua albino na kuwanyofoa viungo ili wapate utajiri?

uanweza kueleza kidogo hiyo haki wanayotetea gentleman?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…