Nyayo za Lucy hizi hapa zimejaa mbigili

Nyayo za Lucy hizi hapa zimejaa mbigili

AWE CHADEMA AWE CCM AU ASIWE NA CHAMA,STILL NI MKATOLIKI TUH NA ANASTAHILI KUJIBIWA HOJA ZAKE

KAMA ANAONEKANA HANA ELIMU BADO NI MUUMINI WA KANISA HAMUWEZI KUMKANA
hoja za waumini zimeshajibiwa mara ngapi kwa mtindo huu?
jibu kama mtu mwenye akili timamu japo siyo kweli
 
Lucy unayemsemea hataki matani Ndo Huyo amesalimiwa kdg na wananchi wenye akili timamu na mapenzi mema na nchi yetu amebaki kung'aa macho tuu 😂
Lucy amemfanya Ruwaichi kua mropokaji wa kisiasa madhabahuni na sio muhubiri wa neno la Mungu tena.

fuska kitima kaufyata mkia,
Lucy kijora bana dah kalipasua jimbo katoliki la dar es salaam kabisa:HAhaa:
 
Unajiita Mkatoliki ila unamtaja Fr. Kitima kwa Daraja la Uaskofu! Hata waliokutuma hawaujui Ukatoliki na madaraja ya Kichungaji!🥺🥺😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom