Nyayo za Lucy hizi hapa zimejaa mbigili

Nyayo za Lucy hizi hapa zimejaa mbigili

Eeh🥺🥺🥺😀😀😀
Lucy Antony Michael (35), Mkazi wa Yombo Dovya, Mtaa wa Makangarawe, Wilayani Temeke, Dar es Salaam amedai kuwa mevamiwa na watu wasiojulikana akiwa anatoka nyumbani kwake, ambapo watu hao walimpiga na kumshambulia maeneo mbalimbali ya mwili wake

Lucy ambaye ni miongoni mwa watu waliojitambulisha kuwa ni Waumini wa Kanisa Katoliki walioenda kwenye Ubalozi wa Vatican, uliopo hapa nchini kwaajili ya kupeleka barua ya malalamiko juu ya mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa hilo hivi karibuni, amesema kabla ya kuvamiwa na kushambuliwa kwake kwa siku kadhaa amekuwa kwenye misukosuko ya kupokea simu na kutumiwa sms za kejeli, matusi na wengine kumtishia maisha

Akizungumza na Waandishi wa Habari akiwa nyumbani kwake leo, Jumapili Januari 11.2026, Lucy amehusianisha kushambuliwa kwake na maoni aliyotoa mbele ya Wanahabari kuhusiana na mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa Katoliki, jambo ambalo ameeleza kuwa amelifanya kwa nia njema ya kujenga iliyolenga kuwarejesha viongozi hao kwenye mstari, maoni ambayo yamepokelewa kwa hisia hasi kwa baadhi watu kwenye jamii

Aidha, bada ya kushambuliwa Lucy amefikisha malalamiko yake kwenye Kituo cha Polisi Makangarawe na kupewa RB No. MAR/RB/49/2026

Shuhuda wa tukio hilo Sabina Michael, Mjumbe wa Serikali ya Mtaa Ashura Salum na Daud Leonard ambaye ni mmoja wa waumini wanaosali pamoja na Lucy, kwa nyakati tofauti wameeleza kusikitishwa na tukio hilo sambamba na kuziomba mamlaka husika kuchukua hatua stahiki kwa wote waliohusika, huku pia wakiomba kuimarishiwa zaidi usalama mtaani kwao kwani matukio ya aina hiyo yanaweza kusababisha wasiwasi kwa jamii.
1768137003724.jpg
 
Lucy Ana sex nyonyo LA kufanyia titsjob kama la kiongozi wake Manyonyo.

Huwez kuwa msharika wa mwamposa afu uwe na akili timamu
 
Kwamba anataka kuwarudisha kwenye mstari mapadri wa katoliki ila kuwarudisha kwenye mstari watawala hataki 😂
 
lazima fuska kitima na mropokaji ruwaichi washike adabu, akina lucy hawataki matani kwenye siasa.
wameamu yesu pembeni sasa kanisani :NoGodNo:
Lucy unayemsemea hataki matani Ndo Huyo amesalimiwa kdg na wananchi wenye akili timamu na mapenzi mema na nchi yetu amebaki kung'aa macho tuu 😂
 
Hiyo namba umerahisihia kupata watu wa kumpiga mshedede.

Hata hiyo itamfaa tu, wamchakaze.
Huwez kumchakaza malaya, labla tuseme tukaongeze kipenyo kwenu uchi wake huku tukivaa condom tano mpaka kiunoni na kwenye hy K pamwagie sprit ili kuua baadhi ya vijidudu
 
Dr. Mwigulu Nchemba unafeli sana na movie zako za kijinga hizi
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.

Kwa nini nasema hajapigwa.

1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.

2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?

3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.
downloadfile-2.jpg
 
Back
Top Bottom