Rahabu
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 5,526
- 3,341
Kama Hadi Leo haijatambulika thamani yake ndo basi tenaTanzania tuna vitu vingi sana hii nchi yetu ni ya thamani sana hebu tujitahidi kuitunza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Hadi Leo haijatambulika thamani yake ndo basi tenaTanzania tuna vitu vingi sana hii nchi yetu ni ya thamani sana hebu tujitahidi kuitunza
Historia ikisema watu walitembea juu ya uji wa volcano mnashangaa.Nilitaka kuuliza hili swali.....
Ngoja waje wajibu....
Haya ndiyo matatizo ya ujinga [Kutokujua]....Historia ikisema watu walitembea juu ya uji wa volcano mnashangaa.
Lakini Bibilia ikisema kina Daniel wali-survive kwenye shimo la moto, mnasema amina.
Sasa kwenye post yangu kuna tatizo lipi la ujinga?Haya ndiyo matatizo ya ujinga [Kutokujua]....
Biblia inasema kwamba akina Danieli walitupwa kwenye tundu la Simba na hawakuuawa na simba wale kwasababu kulikuwa na nguvu kuu iliyowalinda,Sasa hebu linganisha na suala la hawa "vioumbe" kutembea kwenye uji wa volcano bila kuungua kama nao walikuwa na usimamizi wa kungu nyingine iliyozuia hilo.....
Unaweza kuamua kupinga jambo kwa sababu zako lakini kutumia akili ni jambo jema zaidi....
Haijaswemwa kuwa walitembea kwasababu ya miujiza na kama itasemwa hivi tutahoji ni nguvu zipi zilisimamia hiyo miujiza lakini point ya msingi ni kuwa hawajasema kwamba walitembea kwa miujiza....Sasa kwenye post yangu kuna tatizo lipi la ujinga?
Je tukisema HAO WATU WA KALE walitembea juu ya volcano kwa nguvu za miujiza itakuwa sawa?
Tukio la hizo nyayo naliamini kuliko lile la kina Daniel kutupwa motoni bila kuungua.Haijaswemwa kuwa walitembea kwasababu ya miujiza na kama itasemwa hivi tutahoji ni nguvu zipi zilisimamia hiyo miujiza lakini point ya msingi ni kuwa hawajasema kwamba walitembea kwa miujiza....
Linachunguzikaje au historia nayo inaanza kwenda kwa imani???Tukio la hizo nyayo naliamini kuliko lile la kina Daniel kutupwa motoni bila kuungua.
Hilo tukio la nyayo za watu wa kale lina ushahidi na linachunguzika.Je hizo nyayo ni za kina nani?.....Si kweli kwamba iliyokanyagwa ni volcanic material?......lina make sense kuliko la kina Daniel lililo kama hadithi za Abunuasi.
Hayo mambo ya kiimani yaliingiaje kwenye physical world?Linachunguzikaje au historia nayo inaanza kwenda kwa imani???
Maana kwa akili ya kibaiologia, kikemia na kifizikia mapema kabisa inapishana na hilo jambo.
Ni ujinga kulinganisha hivi vitu wakati umeishaambiwa kimoja kilisimamiwa na imani zaidi.
Tunaamini imani imeileta dunia, sasa ukihoji imani imeingiaje ktk ulimwengu halisi utapingana nasi.Hayo mambo ya kiimani yaliingiaje kwenye physical world?
Hujajibu swali langu,.....Imani iliingiaje kwenye physical world?Tunaamini imani imeileta dunia, sasa ukihoji imani imeingiaje ktk ulimwengu halisi utapingana nasi.
Uwe una uelewa wa unachokiuliza, ili ujue hata namna ya kuuliza swali.Hujajibu swali langu,.....Imani iliingiaje kwenye physical world?
Kwanza mwandishi hajasema "volcano arsh" bali amesema "uji wa volcano",hii inamaana ulikuwa ni wamoto.Ili uweze kutengeneza taswira ya kitu kwenye uji huu unapaswa uwe bado na joto ambalo litaufanya uendelee kuwa kwenye hali yake ya kimiminika na kwa hali hii mguu hauwezi kuhimili joto hili kiasi cha anayekanyaga uji huu uweze kutengeneza taswira ya mguu huo....
Haya mambo mengine unaweza tu kuyastukia mapema....
Kitendo cha jiwe kukubali pressure kwenye uso wake ni kwa mazingira mawili, mosi likiwa katika hali ya uji uji(hapa lazima liwe na moto wa kutosha), lakini pili ni kwa kifaa chenye uzito au ugumu zaidi yake almasi, chuma nk.Fine hata kama ni uji wa moto - moto kiasi gani?
Kitendo cha jiwe kukubali pressure kwenye uso wake ni kwa mazingira mawili, mosi likiwa katika hali ya uji uji(hapa lazima liwe na moto wa kutosha), lakini pili ni kwa kifaa chenye uzito au ugumu zaidi yake almasi, chuma nk.
Sasa mguu wa jamaa yetu unakataa mazingira yote hayo,hali ya kwanza angeungua tu, na ya pili hauna sifa hizo.
Au jiwe linabaki katika molten state mpaka katika kiwango kipi cha joto ndani yake??? Mimi najua mpaka hata 300c bado halitayayuka.
Umesomeka mkuu,ila umenichekesha sana!!Mbona wako wengi tu nchini, waanze kuangalia na shape za vichwa watagundua bado tunao hadi sasa!
Unaijua volcano lakini?Fine hata kama ni uji wa moto - moto kiasi gani?