Nyayo za watu wa kale zagunduliwa Tanzania

Nyayo za watu wa kale zagunduliwa Tanzania

karne hii bado mnaamini na kuaminishwa kuwa mnatokana na sokwe,, duuh,, mi simoooooooooooooooooo
 
Hiyo mpaka ni maximum au minimum? Kwa kigezo hiki ni sawa lakini sasa hizo alama walizoziona ni za nini na ilikuwaje zibakie pale? Na kama wana-present fake findings fake basi ni kwa benefit ya nani?
Hiyo ni minimum,

Zile alama zaweza kuwa ni za lava yenyewe tu katika hatua za kupoa ikakutana na vipande vingine vya mawe yakagonga na kuacha alama zinazofanana za nyayo za binadamu kwa kutokea tu.hii ni sawa na ile ya matako ya mtemi wa unyanyembe.afadhari ya hiyo maana unaweza sema alichonga kwa kukaa muda mrefu.

Kuhusu lengo la kupotosha sina uhakika, lakini yaweza kuwa kwa malengo tusiyoyajua maana haingii akilini.
 
sasa sisi waafrika tunaambiwa tunatokana na sokwe,, hao wazungu mbona hawasemi wanatokana na nn??
 
Tukio la hizo nyayo naliamini kuliko lile la kina Daniel kutupwa motoni bila kuungua.
Una haki ya kuamini chochote,hili siyo tatizo hata kidogo maana kuna watu wanaamini mlima Kilimanjaro upo Sumbawanga,huwezi kuwakatalia maana wameamua kuamini hivyo....
Hilo tukio la nyayo za watu wa kale lina ushahidi na linachunguzika.
Linachunguzika kivipi? Yaani unachunguza nini? Kama walikanyaga vilcano au unachunguza nini?
Ushahidi unaousema wewe ni upi?
Je hizo nyayo ni za kina nani?
Sijui,lakini kuwepo kwa nyayo kunaweza kuwa na sababu nyingi lakini ya kiumbe hai kukanyaga vilcano siyo sahihi....
.....Si kweli kwamba iliyokanyagwa ni volcanic material?
Wewe inakuingia akilini kuwa iliyokanyagwa ni volcano?
......lina make sense kuliko la kina Daniel lililo kama hadithi za Abunuasi.
Huu ni uchaguzi wako kama wale walioachagua kuamini kwamba mlima Kilimanjaro upo Sumbawanga huko,siwezi kukukatalia maana kama unaona binadamu kukanyaga volcano na asiungue ni sahihi na ina make sense lakini Danieli kuweza kutokuumwa na Simba siyo sahihi nitakukataliaje? Hiyo ni akili yako....

Una haki ya kuwaza chochote,hata hapo ulipo unaweza kuwaza upo sitting room kwa Obama unapiga naye story na ikawa hivyo kichwani mwako...
 
Huwa najiuliza hivi inawexekanaje mtu akakanyaga ardhini halafu unyayo su alama aliyoacha ardhini ikakaa bila kufutika kwa miaka mingi hadi maelfu. Hvi mimi unyayo wangu niliokanyaga kwa mfano juzi unaweza kuwepo hadi sasa licha ya mvua kunyesha na upepo? Hivi hata tembo akikanyaga unyayo wake huwa haufutiki?
 
Hivi wanAsayansi wetu hawawezi Kugundua kitu mpaka ngozi nyeupe iwepo?
Wanasayansi wote tulionao hapa ni wanasiasa ni wabunge au mawaziri,kama siyo hivyo basi ni wanasiasa katika vyama mbalimbali,wanafukuzana kusaka utajiri,kusaka tonge,taaluma wametupa kule.
 
kwani wewe hunywagi chai ya moto kamanda!
Unajua kuwa joto huwa lina viwango tofauti tofauti?

Unajua joto la chai ambayo unaweza kuinywa lina kiwango kipi na uji wa volcano una kiwango kipi?

Unajuwa kuwa mawe ni matokeo ya uji wa volcano?

Sujui kama umetafakari kabla ya kuandika hiki ulichoandika hapa.....
 
Haijaswemwa kuwa walitembea kwasababu ya miujiza na kama itasemwa hivi tutahoji ni nguvu zipi zilisimamia hiyo miujiza lakini point ya msingi ni kuwa hawajasema kwamba walitembea kwa miujiza....
Hizo ni nyayo za yesu alipokuwa akipaa na hizo ndogo ni za awnafunzi wake
 
[emoji1] [emoji1] mkuu uji wa ulezi au wa volcano???

Jiwe linapigwa joto mpaka 200c haliyeyuki, unadhani mpaka liwe uji linatakiwa joto kiasi gani???
7f3df74509a21495ca07440e0b590580.jpg
 
Kuna Utapeli mwingi sana kwenye hizi chunguzi za kale.

Pia wengine ni njama za kurekebisha historia na fikra za watu.

Wengine wanasema Waafrika walikuwa ni Manyani ili mradi tuu kutudhalilisha.

Wengine watasema kuwa Wazungu waliishi hapa kabla ya Mwafrika nk.

Wengine wanatafuta au wanafanya uchunguzi mwingine nk..
4ed70d152c9722a8d20959e34c952a56.jpg
 
Back
Top Bottom