G
Kimsingi haijulikani,Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi?
ni Afya?
ni Elimu?
ni nini hasa?
dahmeritocracy, tanzagiza haifwati meritocratic system tatizo liko hapo, kwa hali ya kawaida nchi kukoka maji kwa zaidi wiki 3 ilipaswa iwe ni national emergency ambapo raisi wa nchi alipaswa kuwa ameshaongea na kutoa maelekezo nini kifanyike moving forward, but who am i kidding? yeye maji kwake kama yote tena nilisoma humu yanatosa USA ...
sielewi mtu anapata wapi nguvu za kuipongeza hii serikali,Mwanza maji hayakupaswa hata kukatika zaidi ya saa kwa siku yaani iwe sababu ya special cases za matengenezo madogo.
Mwaka jana nilipita Kemondo Kagera nilikaa siku moja wanashida ya maji pia kama Dodoma tu.Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi?
ni Afya?
ni Elimu?
ni nini hasa?
Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji!
Mwanza wanalia mgao wa maji?
Sio siri jamani sisiemu nchi imewashinda mkubali tuu
Mwaka jana nilipita Kemondo Kagera nilikaa siku moja wanashida ya maji pia kama Dodoma tu.
💪💪Kipaumbele kwa sasa ni amani.
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Epuka yote ambayo yatakusababishia matatizo
UpuuziAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Epuka yote ambayo yatakusababishia matatizo