Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Hahaha rais anagombea urais, alitamani apite bila kupingwa.ONLY IN TANZANIA. Halafu Rungwe anaambiwa anatoa rushwa kuwapa watu ubwabwa na maharage.
Wagombea wanao wapa watu chakula kwenye kampeni wana toa hongo. Anae agiza barabara zijengwe kipindi cha kampeni na ni mgombea sio hongo.. Shikamoo TAKUKURU.TAKUKURU TAKUKURU TAKUKURU
Hapo kuna wadau wanachekelea 10% .. ila siasa ni ujambazi mkubwa sana kugunduliwa na mwanadamu.
Naye alikuwa mnafki tu, kama aliyaona hayo kwanini hakusimamia mabadiliko ya katiba kwenye kipindi chakeAmeanza kutoa rushwa za Barabara?
Jk Nyerere alisema "Tuogope kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamkaje au atashauriwa nini na mkewe"
Aliyaona haya ya kuwa na Rais kikurupushi.
Kaole in the buildingDKT. Magufuli akiwa anaendelea na kampeni za uchaguzi 2020, amepita kijiji cha Nyehunge akiwa anaelekea Geita ambapo kutoka Sengerema mpaka Nyehunge ni kilomita 46...
Siyo rushwa kila wakati Magufuli akiona jambo haliko sawa hana subira,ni mtu wa vitendo bila kuchelewa.Hiyo ni rushwa ya uchaguzi.
Haikubaliki.
Magufuli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣DKT. Magufuli akiwa anaendelea na kampeni za uchaguzi 2020, amepita kijiji cha Nyehunge akiwa anaelekea Geita ambapo kutoka Sengerema mpaka Nyehunge ni kilomita 46...