Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Ndio maana kila chama kinaweka mawakala na ni haki yao kisheria kupewa nakala ya majumuisho ambayo wao ni mashahidi!Tunataka uwazi wa kuhesabu kura kama kura za maoni CCM!Una uhakika gani wakati kura huzihesabu,kazi yako ni kupiga kura na kuondoka?