Uchaguzi 2020 Nyehunge: Dkt. Magufuli amuamrisha Mfugale atangaze ujenzi barabara ya Sengerema-Nyehunge (KM 46) kisha amuulize hela za kujengea

Miradi ni maendeleo, kama hutaki miradi hamia ughaibuni.

Lakini jambo la msingi ili kupambana na Magu ilibidi kujipanga kisawasawa kama 2015.

Usione vinaelea vimeundwa, Chadema ya leo siyo ile ya 2015.
 
Hiyi ndo dhana halisi ya kuwa na vyombo vya dola kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM lakini Chadema wakapotosha kwamba chombo cha dola ni Polisi. Ukiwa kwenye madaraka unakuwa na advantage kubwa ya kushinda uchaguzi maana utatoa maagizo kama haya na sheria inakuruhusu kufanya hivyo
 
Ndiye Ameshakuwa Mwenyekiti Wetu. Ndiye Ameshakuwa Mgombea Wetu.

Kilichoko Mbele Yetu Ni WanaCCM kujitokeza Kwa Wingi Kumpigia Kura za NDIO zikichanganywa na za wasiokuwa WanaCCM ashinde TENA halafu 2025 utakuwa MWISHO WAKE WA KUONGOZA.

Then tujipange Tena Kama CHAMA...
Then tujipange Tena Kama TAIFA....
 
Siyo rushwa kila wakati Magufuli akiona jambo haliko sawa hana subira,ni mtu wa vitendo bila kuchelewa.

Lakini pammoja na mihemuko ya uchaguzi wa uraisi,Magu the bulldozer hana mshindani bora arudi kwenye majukumu yake hadi 2025.
Hiyo ni rushwa kama rushwa nyingine zilivyo!Hata mzee wa ubwabwa aliona tatizo wananchi wana njaa,akaamua kukitatua hapo hapo kwa kuwapa ubwabwa ila akaambiwa hiyo ni rushwa!

Kama ameona kuna hitaji la barabara,kwanini asifanye mawasiliano na huyo mfugale ili mkakati ufanyike na kazi ifanyike?Kwanini atumie jukwaa la kampeni?Hiyo ni rushwa, muiname muinuke hiyo ni rushwa!
 
Miradi ni maendeleo, kama hutaki miradi hamia ughaibuni.
Lakini jambo la msingi ili kupambana na Magu ilibidi kujipanga kisawasawa kama 2015.
Usione vinaelea vimeundwa,Chadema ya leo siyo ile ya 2015.
Hiyo ni rushwa ya uchaguzi!Hakuna neno unaweza kuita jambo la namna hiyo zaidi ya rushwa!
 
Takukuru wamkamate nani?
Nani Big Boss wa takukuru?, motherfucker!
Boss wao ndio huyo anatoa rushwa hadharani,halafu utasikia "tumekomesha rushwa"!Shwain kabisa,nchi hii kama tambala bovu!
 
Safi Sana. Huyo ndio JPM, man of action.
Action kwenye kampeni achei uzwazwa yule wa wali yeye ikaonekana ni rushwa hii ndio tunaikataa haki haki haki hatukubali haya matope yaendelee kufqnyika
 
Sifa ni mbaya sana..hivi si mpaka bunge likae liijadili?
 
Sema utatoa rushwa hadharani na wewe ndiye boss wa hao TAKUKURU!
Hapo wametumia advantage ya kuwa TAKUKURU na NEC kama vyombo vya dola kuwa mifukoni mwao!
Baadae watatumia Jeshi,Polisi na Mahakama kubaki madarakani!
Ile dhana ya kutumia Dola aliyosema Bashiru ndio tafsiri yake hiyo imeshaonekana!
Hata NEC kupiga watu mtama ili wengine wapite bila kupingwa ni ndani ya dhana ya Bashiru ya kutumia dola kubaki madarakani!
Shame!!!!!!!!
 
Nikanunue ka-shamba hapo Nyehunge maana hali ya hewa na rutuba ya ardhi vinavutia kweli, wazee wa kupinga kila jambo tutakutana sokoni nauza ndizi na miwa!
 
Hivi Mheshimiwa anajua nini maana ya kampeni za uchaguzi wa Rais? Na pia anatambua nini kinachopaswa kufanyika wakati wa shughuli za kampeni? Na kweli alisoma kwa kina na kuzielewa kanuni na maadili ya wagombea kutokana na tume ya uchaguzi?
Ameongea kama Rais, hata Trump yuko kwenye kampeni na bado anatoa executive order hiyo ndiyo dunia ya kisasa.chadema toeni sera mbadala za kuonyesha ubora wenu, lakini kama sera zenu anazotoa Lissu za kuvunja Muungano na kudanganya eti karume alilazimishwa ni ujuha ulipitiliza.Mtasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…