Uchaguzi 2020 Nyehunge: Dkt. Magufuli amuamrisha Mfugale atangaze ujenzi barabara ya Sengerema-Nyehunge (KM 46) kisha amuulize hela za kujengea

Una uhakika gani wakati kura huzihesabu,kazi yako ni kupiga kura na kuondoka?
Ndio maana kila chama kinaweka mawakala na ni haki yao kisheria kupewa nakala ya majumuisho ambayo wao ni mashahidi!Tunataka uwazi wa kuhesabu kura kama kura za maoni CCM!
 
Kha! haya yanapatikana Tz, tu. Hivi NEC ilitoa mwongozo kwa wagombea kweli? this is purely ze 'takrima'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…