Mbiu ya kampeni ya kugombea urais ya Lissu ilikuwa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Pia aliahidi akipata urais atawaachia mashekhe wa uamsho ndani ya siku 100 za uongozi wake.
www.jamiiforums.com
HAKI
Mama amesisitiza anataka haki kila mahala kuanzia kwenye kodi mpk kwenye vyombo vya utoaji haki. Hataki dhulma.
UHURU
Mama amesisitiza watu wawe huru kufanya siasa, kukosoa na hata vyombo vya habari.
MAENDELEO YA WATU
Akisoma hotuba ya bajeti waziri wa fedha ameyarudia maneno haya mara chungu nzima wakati anatoa utangulizi na wakati akisisitiza baadhi ya maeneo ya hotuba. Anasema bajeti hii imelenga kuleta "maendeleo ya watu"
MASHEKHE WA UAMSHO.
Sote tumeona ndani ya siku 100 za uongozi wa mama SSH mashekhe wameachiwa huru bila masharti tena kwa heshima zote.
Nyendo za rais SSH ni sawa na za Lisu (na siyo yule....)
Pia aliahidi akipata urais atawaachia mashekhe wa uamsho ndani ya siku 100 za uongozi wake.
Uchaguzi 2020 - Lissu: Nikichaguliwa, ndani ya siku 100 za kwanza masheikh wa Uamsho wataachiwa huru
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila. Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote...