Nyendo za Rais Samia zinafanana na za Lissu

Mbiu ya kampeni ya kugombea urais ya Lissu ilikuwa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.

Pia aliahidi akipata urais atawaachia mashekhe wa uamsho ndani ya siku 100 za uongozi wake.

HAKI
Mama amesisitiza anataka haki kila mahara kuanzia kwenye kodi mpk kwenye vyombo vya utoaji haki. Hataki dhulma.

UHURU
Mama amesisitiza watu wawe huru kufanya siasa, kukosoa na hata vyombo vya habari.

MAENDELEO YA WATU
Akisoma hotuba ya bajeti waziri wa fedha ameyarudia maneno haya mara chungu nzima wakati anatoa utangulizi na wakati akisisitiza bqqdhi ya maeneo ya hotuba. Anasema bajeti hii imelenga kuleta "maendeleo ya watu"

MASHEKHE WA UAMSHO.
Sote tumeona ndani ya siku 100 za uongozi wa mama SSH mashekhe wameachiwa bila masharti tena kwa heshima zote.

Nyendo za rais SSH ni sawa na za Lisu (na siyo yule)
huwezi kumlinganisha huyu mama na hiyo takataka uzi huu ni wa hovyo katika nyuzi zote za mwaka huu
 
Genuity is common and universal, not possible everyone to have his/her own. Ni lazima mtagongana.
 
Wote wapo kwenye kundi la nyota ya ndoo lissu kazaliwa 20 january
Samia kazaliwa 27 january watu hawa ndo mana wanakuwa na mawazo yanafanana

Magufuli alikuwa na nyota ya ng'e hivyo haendani na kundi la nyota ya ndoo
Ukiendekeza hayo utaishia kuwa mshirikina!
 
Msimfananishe rais wetu na kibaraka.
moja hana uchungu na mali za Watanzania mlamba viatu vya wazungu.si ndiye alisema tuyaache makinikia?

Si yeye huyu anayezunguka huko na huko kutaka nchi yake iwekewe vikwazo? Utafikiri bibi yake na mama yake wanaishi Ubelgiji,rais anafanya hivyo?

Huyu ni mbinafsi anajiona wa maana sana kuliko watanzania 60m,kila siku niambieni aliyenipiga risasi na nihakikishiwe usalama.kwani watanzania wangapi waliwahi teswa na hawana makelele kama wewe, nani asiyejua Dr.Ulimboka alivyong'olewa meno na kucha enzi za Kikwete,na yuko kimia.Je mama ni mbinafsi kama huyu?

Si lissu huyu hata wakati hajavuliwa ubunge alionekana akiomba michango kwa wanafunzi wanaosoma nje wamsaidie watoto wake wasifukuzwe shule, yaani mwanasheria maarufu nchini,na Mbunge kwa miaka kadhaa,na matibabu yake yaligharamiwa na Ujerumani anawaomba pesa watoto ambao hawana hata kazi?

Kamwe asifananishwe mama na huyu mtumwa wa mabeberu.
 
Crap
 
Hata TBC waliomba kujua utaratibu msiba wa Prof Baregu
 
Mbiu ya kampeni ya kugombea urais ya Lissu ilikuwa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.

Pia aliahidi akipata urais atawaachia mashekhe wa uamsho ndani ya siku 100 za uongozi wake.

HAKI
Mama amesisitiza anataka haki kila mahala kuanzia kwenye kodi mpk kwenye vyombo vya utoaji haki. Hataki dhulma.

UHURU
Mama amesisitiza watu wawe huru kufanya siasa, kukosoa na hata vyombo vya habari.

MAENDELEO YA WATU
Akisoma hotuba ya bajeti waziri wa fedha ameyarudia maneno haya mara chungu nzima wakati anatoa utangulizi na wakati akisisitiza baadhi ya maeneo ya hotuba. Anasema bajeti hii imelenga kuleta "maendeleo ya watu"

MASHEKHE WA UAMSHO.
Sote tumeona ndani ya siku 100 za uongozi wa mama SSH mashekhe wameachiwa huru bila masharti tena kwa heshima zote.

Nyendo za rais SSH ni sawa na za Lisu (na siyo yule....)
CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!
 
Aliyemtesa,kumuumiza na kutaka kumuuadr. Ulimboka ni Ramadhan ighondu! Huyu bwana ni mtumishi wa TISS.
 
Back
Top Bottom