Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mrangi,Ila nyerere hakupendelea imani fulani
Ukiongea na wazee waliyoshika wadhifa
Wakati wa utawala,wanakuambia licha ya
Wao kutokuwa na elimu lkn aliwachomeka
Kwenye nafasi kubwa mfano u rc etc
Kumbuka mzee songambele alikuwa dereva tena anaendesha magari ya igp enzi hzo aziz
Lakini alikuja kuwapa vyeo
Ova
Msome Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002) utapanua uelewa wako.
