Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mrangi,Ila nyerere hakupendelea imani fulani
Ukiongea na wazee waliyoshika wadhifa
Wakati wa utawala,wanakuambia licha ya
Wao kutokuwa na elimu lkn aliwachomeka
Kwenye nafasi kubwa mfano u rc etc
Kumbuka mzee songambele alikuwa dereva tena anaendesha magari ya igp enzi hzo aziz
Lakini alikuja kuwapa vyeo
Ova
kwani hao ndio waliompa uhuru ?Kwani hapo Nyerere yupo Ulaya, au kazungukwa na wazungu?
hebu uwe na aibuMo...
Umepata kusoma historia ya Bi. Khadija Mkomanile au Abdulrauf Songea Mbano?
Hawa ni watu wa pwani na walinyongwa na Wajerumani kwa kushiriki katika Vita Vya Majimaji 1905 - 1907.
Ukipata wasaa tuweke historia ya sheikh amri abeid napenda kujua historia ya meyaMrangi,
Msome Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002) utapanua uelewa wako.
Mzee songambele alikuwa mtu kweli kweli, mwaka 2010 alimchachafya Mzee Makamba katika kikao wakati Makamba ni Katibu Mkuu mpaka akatyata. Alikuwa CCM damuIla nyerere hakupendelea imani fulani
Ukiongea na wazee waliyoshika wadhifa
Wakati wa utawala,wanakuambia licha ya
Wao kutokuwa na elimu lkn aliwachomeka
Kwenye nafasi kubwa mfano u rc etc
Kumbuka mzee songambele alikuwa dereva tena anaendesha magari ya igp enzi hzo aziz
Lakini alikuja kuwapa vyeo
Ova
Watu wa pwani gani?
Hao ndio mdebwedo
Hawajapigana hata vita moja wao maneno mengi tu
Mkuu The Boss aliwahi kulisema hili lakini akaambiwa analeta udini na chuki dhidi ya Utatoliki,Natafakari kwanza!
Hapo mgalatia ni Kambarage peke yake.
Masikini, chuki inakusumbua sana.kwani hao ndio waliompa uhuru ?
hebu uwe na aibu
hao walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba
hivi unajua abushiri aliwauza waafrika wenzie kwa waarabu
vivo hivyo kwa bwana heri huku wakipewa bangili na sahani
hapa unataka kutuambia nini ?
watu wa pwani ni waoga sana ndio maana vita fupi duniani ilipiganwa zanzibar
vita zilikuwa bara huko wajerumani walipata tabu sana
Kwani kabla ya Yeye kulikuwa na ugomvi wa makabila ?Unaweza kumuita the real and bravely commanding officer. Kuunganisha makabila Zaid ya 200 na mpak leo transition ya uongozi inafanyika Kwa Amani sio kitu kidogo.
Mo...kwani hao ndio waliompa uhuru ?
hebu uwe na aibu
hao walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba
hivi unajua abushiri aliwauza waafrika wenzie kwa waarabu
vivo hivyo kwa bwana heri huku wakipewa bangili na sahani
hapa unataka kutuambia nini ?
watu wa pwani ni waoga sana ndio maana vita fupi duniani ilipiganwa zanzibar
vita zilikuwa bara huko wajerumani walipata tabu sana
Mimi ni Mkristo lakini kuna muda naona hawa ndugu zetu huwa wana hofu ya Mungu kuliko sisi..Kama harakati za kupigania uhuru pamoja na mikakati mingi kufanyika Dar Es Salaam amabako asilimia kubwa ya wakazi wake ni waislaam kwa kipindi hicho kwa nini wasionekane sana front page ya kila picha ya wapigania uhuru kuliko wakristo na hata wapagani?
Mkuu The Boss aliwahi kulisema hili lakini akaambiwa analeta udini na chuki dhidi ya Utatoliki,
Mwisho wa siku tukubali, tukatae kuna sehemu historia ya Tanganyika imepotoshwa,
Kwenye hizi harakati waislamu na wakristo wote walikuwepo,.........
Ila leo anaonekana mmoja tu.....
THE TRUTH SHALL SET YOU FREE...
Asante. Hii picha inaonyesha jinsi nchi yetu ilivyosukwa toka awali. Haikuwa na matabaka wala upendeleo. Kuna makosa yamefanyika hapa na pale. Ndio ubinadamu. Tusianze kushupalia makosa hayo au kujaribu kutafuta nani zaidi ndani ya Tanzania. hatutafanikiwa. Sababu hatuko hivyo.View attachment 1775483
Namuona Mwl akiwa mtu wa kawaida kabisa
Huku Shk Suleima Takadiri na weziwe (SHEIKH SULEIMAN TAKADIR, JOHN RUPIA AND NYERERE 1955) wakionesha kuwa na lengo moja tuu.
Kuikomboa Tanganyika.
Lakini Huku nyuma kuna mabodi Gurd wa kijadi,
Wanachekesha kidogo. mtu kabeba Shoka begani , Mkuki, Panga na Kisururu kiunoni. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 najiuliza atavitumiaje hivi kwa wakati mmoja?
Wakati huo wagombea Uhuru wengi wao walikuwa Waislamu wa Pwani na Masheikh.
Je, kuna kitu cha kujifunza katika picha hii ya zamani?
Same story. Same results. Ni hivi, wa mbili havai moja. Tuachieni Tanzania njema isiyo na upendeleo wala matabaka. Haya mambo ya kufikiri nani zaidi, hayaijengi Tanzania. Makosa yaliyofanyika sisi mbona tunataka kuyarudia na kupitiliza badala ya kurekebisha?Mo...
Umepata kusoma historia ya Bi. Khadija Mkomanile au Abdulrauf Songea Mbano?
Hawa ni watu wa pwani na walinyongwa na Wajerumani kwa kushiriki katika Vita Vya Majimaji 1905 - 1907.
-vita kubwa kabisa kupiganwa kabla ya uhuru ni pwani na kusini, Vita ya maji maji, ambayo ilijumuisha Dar, pwani, Lindi, mtwara, ruvuma, iringa, moro etc. Ramani ya majimajiWatu wa pwani gani?
Hao ndio mdebwedo
Hawajapigana hata vita moja wao maneno mengi tu
Ahsante sana ndugu kwa kuweka taarifa sawasawa.Pana watu kutokana na wingi na ujuha wao wanaamini wao ndiyo wakombozi wa Tanganyika na hutumia kila mbinu iwe hivyo.View attachment 1775483
Namuona Mwl akiwa mtu wa kawaida kabisa
Huku Shk Suleima Takadiri na weziwe (SHEIKH SULEIMAN TAKADIR, JOHN RUPIA AND NYERERE 1955) wakionesha kuwa na lengo moja tuu.
Kuikomboa Tanganyika.
Lakini Huku nyuma kuna mabodi Gurd wa kijadi,
Wanachekesha kidogo. mtu kabeba Shoka begani , Mkuki, Panga na Kisururu kiunoni. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 najiuliza atavitumiaje hivi kwa wakati mmoja?
Wakati huo wagombea Uhuru wengi wao walikuwa Waislamu wa Pwani na Masheikh.
Je, kuna kitu cha kujifunza katika picha hii ya zamani?
Kuna wakati huwa via fly hivyo pale unapokuwa mbali...View attachment 1775483
Namuona Mwl akiwa mtu wa kawaida kabisa
Huku Shk Suleima Takadiri na weziwe (SHEIKH SULEIMAN TAKADIR, JOHN RUPIA AND NYERERE 1955) wakionesha kuwa na lengo moja tuu.
Kuikomboa Tanganyika.
Lakini Huku nyuma kuna mabodi Gurd wa kijadi,
Wanachekesha kidogo. mtu kabeba Shoka begani , Mkuki, Panga na Kisururu kiunoni. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] najiuliza atavitumiaje hivi kwa wakati mmoja?
Wakati huo wagombea Uhuru wengi wao walikuwa Waislamu wa Pwani na Masheikh.
Je, kuna kitu cha kujifunza katika picha hii ya zamani?
The Boss,Hatujiulizi historia ya kanisa katoliki before 1961 ikoje??Mbona kama hakuna kabisa?
Wala hakuna historia ya kanisa kupigania uhuru licha ya kuwepo kama taasisi decades kadhaa kabla ya Uhuru.
Something very fishy