Wacha unafiki Nyerere aliipaisha nchi kiuchumi? Kakwambia nani najuwa wewe ulikuwa bado hujazaliwa lakini nikuutaarfu wakati wa utawala wa Nyerere hii nchi ilikuwa inanuka njaa, vyakula vilipatikana kwa shida na kwa mgao tulikuwa tunaitegemea Kenya kwa kila kitu kuanzia vyakula, madawa, mafuta ya kupikia, viatu na usafiri kwa sababu barabara zote za tanganyika zilikuwa mbovu.