Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hadi miaka ya 2000 tv za tz ikiwemo itv, tbc zilikuwa na taarifa za habari za kiingerezaDuh asee kumbe miaka hiyo Kigalatia kilishafika bongo? Sasa mbona kinaendelea kuwa changamoto?
Iliitwa NUTA jazzNimezaliwa 90 ila nahisi miaka hiyo msondo haikuwepo
Kigalatia hakikuwa changamoto enzi hizo, tumeharibu kuanzia miaka ya 90. Tumebaki na ze ze zeDuh asee kumbe miaka hiyo Kigalatia kilishafika bongo? Sasa mbona kinaendelea kuwa changamoto?
Kigalatia hakikuwa changamoto enzi hizo, tumeharibu kuanzia miaka ya 90. Tumebaki na ze ze ze
Exactly, watu wa darasa la 4 walikuwa wanagonga English vizuri tu. Lugha ni lugha tu, upate mwalimu mzuri ukiongeza na mazoezi, mambo yanakuwa bam bam. Lakini tumedharau sana masomo ya lugha; walimu wenyewe kiingereza hawajui, watamfundisha nani, tukirudi mtaani; hata maigizo yote yametafsiriwa kiswahili, tutajifunza wapi.Ni kweli Babu alisoma darasa la 8 la mkoloni.
alikuwa anaongea kiingereza vizuri.
maana walikuwa wanafundishwa na wazungu na lugha ya kufundishia kilikuwa ni kiingereza.
Kiingereza ni lugha Kama lugha nyingine Kama haufanyi mazoezi ya kuongea na kuandika lazma utapotea
Exactly, watu wa darasa la 4 walikuwa wanagonga English vizuri tu. Lugha ni lugha tu, upate mwalimu mzuri ukiongeza na mazoezi, mambo yanakuwa bam bam. Lakini tumedharau sana masomo ya lugha; walimu wenyewe kiingereza hawajui, watamfundisha nani, tukirudi mtaani; hata maigizo yote yametafsiriwa kiswahili, tutajifunza wapi.
Kiswahili kinakuwa kwa kasi sana hata mataifa Jirani, yaani ni sanaHadi miaka ya 2000 tv za tz ikiwemo itv, tbc zilikuwa na taarifa za habari za kiingereza
Ila kadri siku zinaenda hizo habari kwa lugha hizo zimefutwa
Kiswahili kimekuwa kwa kasi kuliko kiingereza
Kiswahili kinakuwa kwa kasi sana hata mataifa Jirani, yaani ni sana
Kiingereza ''kilizaliwa'' miaka hiyo, sasa kiko mahtuti. Kusoma historia ya nchi ni muhimu.Duh asee kumbe miaka hiyo Kigalatia kilishafika bongo? Sasa mbona kinaendelea kuwa changamoto?
Na wtt wa hivyo hadi majumbani mwao wanaongeleshwa English.tatizo la kiingereza naona lipo kwenye shule za serikali.
Ila za English medium walimu wake wanajitahidi Sana
Nakutana na watoto wanapiga kiingereza kule beach na wazazi wao Hadi raha.
Mtoto anajengewa uwezo mapema.
Akikuwa ATAWEZA kujieleza vizuri.
Kuna watu wana degrees lakini kujieleza kwa kiingereza hawajui
Kiswahili hakina faida yoyote Ile hapa bongo.Shida sio kukua kiswahili
Kuna faida gani ya kuongea kiswahili wakati ukienda kuomba kazi unaulizwa kiingereza?
Kiswahili hakina faida yoyote Ile hapa bongo.