Nyerere alipofungua ‘Dance’ Msondo Ngoma

Nyerere alipofungua ‘Dance’ Msondo Ngoma

Hadi miaka ya 2000 tv za tz ikiwemo itv, tbc zilikuwa na taarifa za habari za kiingereza

Ila kadri siku zinaenda hizo habari kwa lugha hizo zimefutwa

Kiswahili kimekuwa kwa kasi kuliko kiingereza
Ihiyo miaka ya 64 neno TV halikuwepo kwenye msamiati wa mtanzania. Zanzibara walikuwa na TV lakini siyo hiyo miaka ya 64.
Enzi zile ni Radio, baadaye tulipata radio za kimbao watu wakawa wanatembea nazo kwenda kulima. Kama Mwalimu ahahutubia, hiyo nyumba yenye radio watakoma, kijiji chote kitahamia humo.
 
Unasema 64!?..1980s mpaka 1990s hapo mpira wa Simba na yanga mnaenda sehemu kusikiliza!!
 
Wakati huo Utunzi wa Mziki ulikuwa unalenga kuelimisha na kuhamasisha jamiii kuondokana na Maadui wa Taifa Ujinga, Maradhi na Magonjwa na burudani kwa mbaaaali.
Enyi vijana Sikizeni, mnapokuwa masomoni......

Lkn sasa ni matusi matusi ua ngono tuuuu

.
"ujinga,maradhi na magonjwa"
 
Wasanii wa kizazi hiki ni kuimba Makonda babalao ... mara Mwakyembe babalao...nonsense !
 
Back
Top Bottom