Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Amafundisha nani sasa kuanzia chekechea.....Ibaki tu lugha ya mawasiliano mtaani.
Ila mashuleni watoto waanze kiingereza tangu chekechea.
Na lugha ya kufundishia itumike kiingereza na kiswahili kibaki Kama SOMO
Amafundisha nani sasa kuanzia chekechea.....
Ihiyo miaka ya 64 neno TV halikuwepo kwenye msamiati wa mtanzania. Zanzibara walikuwa na TV lakini siyo hiyo miaka ya 64.Hadi miaka ya 2000 tv za tz ikiwemo itv, tbc zilikuwa na taarifa za habari za kiingereza
Ila kadri siku zinaenda hizo habari kwa lugha hizo zimefutwa
Kiswahili kimekuwa kwa kasi kuliko kiingereza
Akiongea kiingereza mtoto kwangu anakula makwenzi mpaka basiNa wtt wa hivyo hadi majumbani mwao wanaongeleshwa English.
Unasema 64!?..1980s mpaka 1990s hapo mpira wa Simba na yanga mnaenda sehemu kusikiliza!!Ihiyo miaka ya 64 neno TV halikuwepo kwenye msamiati wa mtanzania. Zanzibara walikuwa na TV lakini siyo hiyo miaka ya 64.
Enzi zile ni Radio, baadaye tulipata radio za kimbao watu wakawa wanatembea nazo kwenda kulima. Kama Mwalimu ahahutubia, hiyo nyumba yenye radio watakoma, kijiji chote kitahamia humo.
Lol. Why?Akiongea kiingereza mtoto kwangu anakula makwenzi mpaka basi
Mi mtanganyika,lugha yangu kiswahili,ngeli aongee shule huko,wanakuwa wazungu weusi ukiendrkeza Sana wanayofundishwa shuleLol. Why?
Aisee, Kikristo ni kigumu sana kwa kizazi chetu. Hawa watoto wa siku hizi hata Kiswahili hawajui vizuri.Duh asee kumbe miaka hiyo Kigalatia kilishafika bongo? Sasa mbona kinaendelea kuwa changamoto?
"ujinga,maradhi na magonjwa"Wakati huo Utunzi wa Mziki ulikuwa unalenga kuelimisha na kuhamasisha jamiii kuondokana na Maadui wa Taifa Ujinga, Maradhi na Magonjwa na burudani kwa mbaaaali.
Enyi vijana Sikizeni, mnapokuwa masomoni......
Lkn sasa ni matusi matusi ua ngono tuuuu
.
UJINGA, UMASKINI & MARADHI."ujinga,maradhi na magonjwa"