Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Salam
Pamoja na mazuri yake lakini Nyerere alitengeneza kitu kinaitwa systematic stupidity (upumbavu wa kimfumo) ndio inachotesa nchi mpaka leo.
Systematic stupidity in political leadership occurs when structural and social factors lead intelligent, well-intentioned leaders to make poor decisions. Rather than being a failure of individual intelligence, it is often a product of the systems and cultures within which politics operates, amplified by modern communication and technology.
Mechanisms of systematic political stupidity
The cult of image over competence: Leaders may be selected and promoted based on superficial traits, such as charisma or television presence, rather than a proven track record of effective governance. As journalist Brian Klaas argues, modern politics can systematically select for traits that make for good performers but poor leaders.
Echo chambers and filter bubbles: Modern politics is exacerbated by social media algorithms that create information silos. When leaders and their teams spend time inside these echo chambers, they can become detached from the reality and concerns of the wider public. This fosters a sense of certainty that reduces the motivation for critical reflection and engagement with opposing views.
Functional stupidity: Coined by academics Mats Alvesson and André Spicer, "functional stupidity" describes a state where critical thinking is deliberately suppressed in an organization to maintain stability and a sense of shared purpose. In politics, this manifests as adhering strictly to the "party line" even when it dictates absurd or harmful policies. Political leaders can also be surrounded by aides who are incentivized to reinforce the leader's beliefs rather than challenge them.
Affective polarization: Political opponents are increasingly seen as "stupid" or "evil," rather than simply holding different views. This framing discourages constructive dialogue and reinforces tribal divisions, allowing leaders to operate in a feedback loop of us-vs-them rhetoric.
Disinformation as a political tool: The deliberate spread of false information and propaganda can erode trust in institutions and create a climate of confusion and cynicism. Some political leaders use this by dismissing opposing views as "fake news" or exploiting existing biases, making it harder to establish a collectively accepted basis of facts.
Bureaucratic absurdity: As anthropologist David Graeber noted, bureaucracy can produce a kind of "structural stupidity". The complex web of rules and procedures, often initially designed to improve efficiency, can become an end in itself. Political leaders can find themselves trapped in this system, where procedural concerns override the original purpose of the policy, leading to absurd or counterproductive outcomes.
Swahili
Ujinga wa kimfumo katika uongozi wa kisiasa
Ujinga wa kimfumo katika uongozi wa kisiasa hutokea wakati vipengele vya kimuundo na kijamii vinasababisha viongozi wenye akili, wenye nia njema kufanya maamuzi mabaya. Badala ya kuwa kushindwa kwa akili ya mtu binafsi, mara nyingi ni matokeo ya mifumo na tamaduni ambazo siasa hufanya kazi ndani yake, zikizidishwa na mawasiliano na teknolojia ya kisasa.
Njia za ujinga wa kimfumo wa kisiasa
Ibada ya picha kuliko uwezo: Viongozi wanaweza kuchaguliwa na kupandishwa cheo kulingana na sifa za juu juu, kama vile haiba au uwezo wa kuonekana kwenye televisheni, badala ya rekodi iliyothibitishwa ya utawala bora. Kama mwandishi wa habari Brian Klaas anavyosema, siasa za kisasa zinaweza kuchagua kimfumo sifa zinazowafanya kuwa waigizaji wazuri lakini viongozi mbaya.
Vyumba vya mwangwi na vichujio vya taarifa: Siasa za kisasa huzidishwa na algoriti za mitandao ya kijamii zinazounda makundi yanayofanana katika upataji wa taarifa. Viongozi na timu zao wanapotumia muda ndani ya "vyumba vya mwangwi" hivi, wanaweza kutengana na ukweli na wasiwasi wa umma kwa upana. Hii huunda hisia ya uhakika ambayo hupunguza motisha ya kutafakari kwa kina na kushirikiana na maoni pinzani.
Ujinga wa kimfumo (au "ujinga wa kiutendaji"): Wataalamu wa masomo Mats Alvesson na André Spicer walibuni neno "functional stupidity" (ujinga wa kiutendaji) kueleza hali ambapo kufikiri kwa kina kunakandamizwa kwa makusudi ndani ya shirika ili kudumisha utulivu. Katika siasa, hili hujitokeza kama kushikilia kwa uthabiti "msimamo wa chama" hata kama inasababisha sera zisizofaa au zenye madhara.
Ubaguzi wa kihemko: Wapinzani wa kisiasa wanaonekana zaidi kama "wajinga" au "waovu," badala ya kuwa tu na maoni tofauti. Mfumo huu huzuia mazungumzo yenye kujenga na huimarisha migawanyiko ya kikabila, na kuwaruhusu viongozi kufanya kazi katika mzunguko wa sisi-dhidi-yao.
Taarifa potofu kama chombo cha kisiasa: Uenezaji wa makusudi wa taarifa za uongo na propaganda unaweza kudhoofisha imani katika taasisi na kuunda mazingira ya machafuko na utabiri. Baadhi ya viongozi wa kisiasa hutumia hili kwa kupuuza maoni pinzani kama "habari za uongo" au kutumia upendeleo uliopo, na kufanya iwe vigumu kuanzisha msingi wa pamoja wa ukweli.
Upuuzi wa urasimu: Kama alivyoeleza mtaalam wa anthropolojia David Graeber, urasimu unaweza kutoa aina ya "ujinga wa kimuundo". Mfumo tata wa sheria na taratibu, ambazo mara nyingi huundwa awali ili kuboresha ufanisi, unaweza kuwa lengo lenyewe. Viongozi wa kisiasa wanaweza kujikuta wamenaswa katika mfumo huu, ambapo masuala ya kiutaratibu hupuuza madhumuni ya awali ya sera, na kusababisha matokeo yasiyofaa.
Brainwashing, watu wanaambiwa maneno ya uongo na wanaamini maisha yao yote. Uongo huu hudumu kizazi hata kizazi na kuaminiwa na watu wa kizazi hicho hasa watu wenye umri wa miaka hamsini na zaidi 50+. Watu hao ambao wako brainwashed ndio wenye madaraka na nguvu wanaouendeleza mfumo wa upumbavu. Hao watu ambao wako brainwashed Wapo kwenye uongozi wa ngazi mbali mbali serikalini, kwenye taasisi, mahakama na majeshi. Wao kwakuwa wako brainwashed wakipokea maagizo toka juu wao wanatii bila kuangalia sheria, taratibu, kanuni na HAKI. Hao watu ambao wako brainwashed ndio nguzo kuu ya systematic stupidity
Hii shida ya systematic stupidity, ujinga wa kimfumo au upumbavu wa kimfumo ndio imetufikisha hapa. Bado tuna safari ndefu mno kuutoa huu mfumo ulioasisiwa na Nyerere.
Kizazi cha watanzania wenye umri kuanzia miaka 50 na kuendelea wengi wao akili zao ziko 100% brainwashed. Hao ndio wenye madaraka sehemu zote kwenye taifa hili ndio wananufaika na mfumo mbovu wa Nyerere wa Systematic Stupidity na wanaulinda kwa nguvu sana kwa kutesa na kukandamiza watu, wanasema ni maagizo toka JUU, au wanasema wao ni wazalendo, au wanasema wanalinda amani ya nchi, kumbe wao ndio wanakula nchi. Na mfumo umebana katika pembe zote ni vigumu kuubadilisha. Labda yatokeee mambo ya hatari, tokea ndani ya mfumo au tokea nje ya mfumo.
Huu mfumo wa systematic stupidity ulitengenezwa vibaya mno na nyerere aliuwekea mpaka mfumo wa kuulinda, yeye alitengeneza kizazi ya watu ambao ni brainwashed yaani ndani ya vichwa vyao hakuna kitu halafu ndio akawapa vyeo ili kuulinda huu mfumo wa kipumbavu. Aliweka mbinu kuu nne za kuulinda huo mfumo
1. Alitengeneza Jamii ambayo ipo brainwashed.
2. Alitengeneza vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo ni highly brainwashed na majeshi yetu yanaulinda huo mfumo moja kwa moja kwa maagizo toka JUU. Ndio maana watu wanakamatwa, wanakufa, wanapotezwa. Madhara ya brainwashed security systems ndani ya nchi.
3. Alitengeneza Bunge ambalo ni Brainwashed. Na mfumo wa kutengeneza na kuteua brainwashed politicians. Mfumo unataka wanasiasa machawa na wapuuzi. Sio wanasiasa wabunifu na wenye akili za kutatua matatizo ya watanzania.
4. Alitengeneza brainwashed judiciary, mahakama ambayo ina majaji ambao ni completely brainwashed ambao wanafata maagizo toka JUU badala ya kufuata katiba na sheria za nchi.
Pia huu mfumo wa systematic stupidity unatengeza taasisi zingine mbali mbali za kuendeleza na kukuza upumbavu
1. Tume ya uchaguzi imeundwa na watu ambao ni brainwashed ili kuubeba mfumo.
2. Mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa designed kuwa Brainwash watanzania
3. Viongozi wa kidini wanatumika ku brainwash watanzania, ndio maana kila sekunde wanasisitiza amani.
4. Michezo inatumika ku brainwash watanzania
5. Wasanii na watu maarufu wanatumika ku brainwash watanzania
6. Vyombo vya habari vinatumika ku brainwash watanzania
7. Mfumo wa Maagizo toka JUU, ni moja ya mfumo mbaya sana ambao unaitesa nchi hii. Na bado utaendelea kututesa mno.
8. Mfumo wa kuteua wazee kwa wingi kwenye vyeo vya juu sehemu mbali mbali serikalini na kuwapa vyeo wazee wenye miaka 60,70,80+ huo mfumo kitaalam unaitwa Gerontocracy. Sehemu ikiwa na wazee wengi huwa ni conservative hawataki mabadiliko, pia ni anti-creativity, anti-innovation, hawataki ubunifu wowote mpya wanataka mambo ya zamani, wapo tayari kuua watu kwa Mamilioni ili kupinga mabadiliko. Pia katika historia ya ulimwengu viongozi wengi wazee walikuwa ni madikteta na wauwaji. Janga la Gerontocracy linaitafuna Tanzania.
Huo mfumo ni mgumu kuutoa, unahitaji nguvu na akili nyingi sana kuuangusha. Labda wachawi wawaroge viongozi na kushusha radi kwa viongozi wa hovyo.
Na hakuna mtu muoga kama mtanzania hata mimi ni muoga sana. Wanajeshi ndio waoga promax 🤣