Nyerere alitengeneza Systematic stupidity. Hiyo ndio inatesa Tanzania mpaka leo

Sasa mkuu , unafikiri ulichokisema hapo 👆, Mimi sikijui ?.

Hata kama mwalimu asinge shinikiza vyama vingi, 1995 ilikuwa ni lazima tufanye uchaguzi wa vyama vingi
Kwanini awe mstari wa mbele kussuport multiparty ilihali umesema hapendi

Kama alikuwa hapendi multiparty Angekaa pembeni na kumuachia mwinyi kuendelea na huo mchakato
 
Kwanini awe mstari wa mbele kussuport multiparty ilihali umesema hapendi

Kama alikuwa hapendi multiparty Angekaa pembeni na kumuachia mwinyi kuendelea na huo mchakato
Kwanini awe mstari wa mbele kussuport multiparty ilihali umesema hapendi, 👈 hili ni swali la msingi sana la kujiuliza .

Hata wale walianzisha vyama vya siasa walikuwa ni makachero wa mwalimu wa tiifu sana ie mrema ,maalimu ,lipumba, ie.

Sasa utasema hapo Kuna democracy?
 
Mwl ndio muasisi wa matatizo yote haya.inc upangaji miji wa hovyo. Elimu isiyokuwa applicable kwenye real life ipo ya kupamba vyeti lakini haitumiki kutatua changamoto.

Hata usafi wa mtaa tuu watu hawana akili ya kusafisha sababu.ya elimu ya ujamaa
 
Yaani unamlaumu baba yako amesababisha uwe masikini na ameshakufa miaka 30 iliyopita.
 
Mleta mada umemaliza kila kitu. Ndo mana tunasisitiza Jeshi lichukue Nchi ili tuanze kulisuka hili Taifa upya na kurudisha matumizi ya akili
Systematic stupidity ilianzia kwenye jeshi. Kiufupi wanajeshi wa Tanzania ni highly brainwashed ndani ya vichwa vyao ni waoga promax. Ndio maana mafisadi wanafilisi nchi kwa raha zao kwakuwa wanajua wana brainwashed army, ambalo kazi yao ni kulinda mfumo wa wizi kwa maagizo toka JUU,watu wanateseka wao wamekaa na silaha wanaziangalia wako brainwashed , watu wanatekwa na wanakufa wao wamekaa kambini na bunduki wanaziangalia tu Hiyo jwtz sio jeshi la wananchi ni
Jeshi la wanaccm Tanzania
Jeshi la WAOGA Tanzania
Jeshi la WALANCHI Tanzania



Mpaka sasa wananchi tuna mwanajeshi mmoja tu Captain John Tesha
 
Brainwashing iliyofanyika katika kipindi chake ndio hii inatuletea kizazi cha ajabu and viongoz wa ajabu, blame on him.

Tuna kazi nzito sana ku eradicate huo upumbav
Brainwashing aliyoifanya nyerere imeharibu nchi hii ndio maana watu wengi wenye umri wa 50+ huwaambii kitu kuhusu ccm. Hao wazee wamepitia miaka mingi ya systematic stupidity wamekuwa brainwashed na ndio wenye nguvu na mamlaka kila sehemu hadi kwenye majeshi. Angalia umri wa viongozi wa hovyo wengi ni 50+. Hayo ndio madhara ya systematic stupidity ambayo inafanya brainwashing katika jamii. Bado tuna safari ndefu, na bado kizazi cha wazee brainwashed kiko kwenye madaraka.
 
Yaani unamlaumu baba yako amesababisha uwe masikini na ameshakufa miaka 30 iliyopita.
Nyerere ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo. Alitengeneza systematic stupidity. Huo mfumo kuubadilisha ni ngumu kuliko unavyofikiria.
 
Nyerere ndio muasisi wa systematic stupidity. Na huo mfumo unatutesa mpaka leo na bado utaendelea kututesa
 
madhara yake first born wake anaitwa Andrew anadai watotto wa while ya msingi waliouwa wanamwita Abdul
 
Huu mfumo wa systematic stupidity ulitengenezwa vibaya mno na nyerere aliuwekea mpaka mfumo wa kuulinda, yeye alitengeneza kizazi ya watu ambao ni brainwashed yaani ndani ya vichwa vyao hakuna kitu halafu ndio akawapa vyeo ili kuulinda huu mfumo wa kipumbavu. Aliweka mbinu kuu nne za kuulinda huo mfumo
1. Alitengeneza Jamii ambayo ipo brainwashed.
2. Alitengeneza vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo ni highly brainwashed na majeshi yetu yanaulinda huo mfumo moja kwa moja kwa maagizo toka JUU. Ndio maana watu wanakamatwa, wanakufa, wanapotezwa. Madhara ya brainwashed security systems ndani ya nchi.

3. Alitengeneza Bunge ambalo ni Brainwashed. Na mfumo wa kutengeneza na kuteua brainwashed politicians. Mfumo unataka wanasiasa machawa na wapuuzi. Sio wanasiasa wabunifu na wenye akili za kutatua matatizo ya watanzania.

4. Alitengeneza brainwashed judiciary, mahakama ambayo ina majaji ambao ni completely brainwashed ambao wanafata maagizo toka JUU badala ya kufuata katiba na sheria za nchi.



Pia huu mfumo wa systematic stupidity unatengeza taasisi zingine mbali mbali za kuendeleza na kukuza upumbavu
1. Tume ya uchaguzi imeundwa na watu ambao ni brainwashed ili kuubeba mfumo.

2. Mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa designed kuwa Brainwash watanzania

3. Viongozi wa kidini wanatumika ku brainwash watanzania, ndio maana kila sekunde wanasisitiza amani.

4. Michezo inatumika ku brainwash watanzania

5. Wasanii na watu maarufu wanatumika ku brainwash watanzania

6. Vyombo vya habari vinatumika ku brainwash watanzania




Huo mfumo ni mgumu kuutoa, unahitaji nguvu na akili nyingi sana kuuangusha. Labda wachawi wawaroge viongozi na kushusha radi kwa viongozi wa hovyo.
 
Wewe jamaa huwa una ambitions za kuwa raisi halafu kumbe una mindset ya kipumbav hivi?

Mtu anayependa kulaumu laumu watu wengine hasa waliopita kwa matatizo ambayo kwa kiasi kikubwa yanaweza kutatuliwa na watu waliopo huyo ni mtu dhaifu kwanzia akili mpaka mwili...!!

Kumlaumu Nyerere kwa katiba iliyopo ilihali mmekuwa na zaidi ya miaka 30 tangu muingie kwenye mfumo wa vyama vingi hiyo inaonesha hamna akili ya kujiamulia mambo nyie wanyewe kwa maana nyingine hamuwezi kujiongoza, na kwa kiasi kikubwa mnategemea huruma ya kiongozi aliyepo kufanya mambo mnayotaka nyie.

Swali kwako kwa akili hii unajiona una sifa za kuwa raisi??
 
Nikiwa Rais wa Rais ntaifutilia mbali hii katiba ya nyerere ya mwaka 1977 ambayo imekuwa ni Tanzi kwa watanzania
 
Mtu anakuambia muondoe katiba kama hamuitaki Nyerere alishaondoka zaidi ya miaka 20 ni hoja ya kijinga sana

Wanufaika wa mfumo ndo wame-hold hizo position almost zote za serikali jibu ni kwamba hawatakubali kirahisi huu mfumo kupitia katiba hii ya mwaka 1977 inayowanufaisha kuondoka haitakuwa Rahisi

Hambao hatuitaki hii katiba hatupo kwenye nafasi za uongozi sasa mtu unakuja na kutalaumu sisi serious
 
Ndio Nyerere alileta ufisadi na uchawa kwa kumpa Ras madaraka makubwa sana na kumfanya kuwa Mungu mtu

Tanzania Rais anaweza fanya chochote kile na katiba imemuhakikishia hataukumiwa akimaliza mda wake
Katiba inamruhusu au nyie ndio mnamruhusu kwa ujinga wenu

Bunge mnalo mahakama mnayo kwanini msivitumie
 
Nyerere alikuwa ni mmoja kati ya maraisi wengi waliyopewa uhuru kutoka kwa wakoloni, na nchi zote za kiafrika tuna matatizo yaliyofanana katika utawala, tukisema alitengeneza huo mfumo kidogo inakuwa ni kumuonea kwani hao waliyotupa uhuru ni dabo wanatutawala kiaina. Waafrika hatuna uhuru wa kweli lazima tujichunguze tatizo la kweli lipo wapi? Sisi tumebaki kulaumiana, kuuana, kutesana kwa ajili ya tonge tu.
 
Nyerere ndio muasisi wa taifa hili yeye ndio muasisi wa systematic stupidity ambayo mpaka leo inatesa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…