Nyerere alitengeneza Systematic stupidity. Hiyo ndio inatesa Tanzania mpaka leo

Duh! Maelezo hayo yote haujaelewa. Hali ya watu kutekwa na kufa kwako wewe unaona ni sawa? Au wewe upo unalamba asali ndani ya mfumo?
 
Duh! Maelezo hayo yote haujaelewa. Hali ya watu kutekwa na kufa kwako wewe unaona ni sawa? Au wewe upo unalamba asali ndani ya mfumo?
Sasa hayo yana uhusiano gani na kichwa cha habari ya mada yako, contents za post #1, narrative husika uliyoweka mwenyewe na implications ulizompa Nyerere.

Uwezi kuweka narrative ya political system (be it unofficial political theory). Mention an instigator, implicate him based on the narrative and fail to justify.

Kama mwalimu ndio instigator wa utekaji (ignoring points addressed from your main post, because that is not what it was inferring to). Suppose Mwalimu ndio muasisi wa huo mfumo na maraisi wote waliofuata baada yake wameutumia.

Haya mambo ya kutekana, kupotezana na kuuwana, yalikuwepo kipindi cha Mwinyi, Mkapa na Kikwete pia?

Anyway have a good weekend, uwezi kwenda kwenye internet kujiokotea vi article na kuwapa watu kesi kama waasisi wa huo mfumo popote duniani; worst you can’t defend your position not sure you even understood the article you brought about.

Ndio madhara ya internet 👋 enjoy your wknd
 
Duh!
 
Hio Systematic Stupidity ilikuwa na malengo ya kumlindia cheo chake na wala sio ya manufaa kwa taifa. Cheo chake kama mwenyekiti wa chama na cheo kama amiri jeshi mkuu.

Ukishagawa watu kwenye vikundi halafu ukaweka viongozi kwa kila ngazi kisha ukawa una control nani ale nani asile according to Loyalty lazima utajikuta una wapambe wengi tu sababu njaa haina baunsa. Kila kiongozi atajipendekeza kwako ili ale kama viongozi wenzie wanavyokula hata kwa kukandamiza walio chini yake ili kumfurahisha mkubwa. Mwisho ndio viongozi wote wanaungana kunyamazisha umma ili kumlindia mkubwa maslahi yake.

Kwa yanayotokea leo hii, inawezekana kabisa machawa walikuwepo toka enzi za Mwalimu ila kwa sababu ya social networks kutokuwepo haikuwa rahisi kuwagundua.
 
Waingereza miaka ya 60 walisema Nyerere ni mtu mbaya sana. Ni dikteta ambaye alikuwa na fikra za kikomnisti/kisovieti. Nyerere alipewa nchi na waingereza ikiwa na mfumo wa vyama vingi vya kisiasa. Ila kwa kuwa alikuwa ni dikteta alivifuta, akatunga uongo kudanganya watu kuwa vyama vitawagawa watu na kuleta vita. Kisha akabrainwash watu na mauongo yake ya kipumbavu, kisha akausuka huu mfumo wa systematic stupidity ndio unatutesa mpaka leo. Wazee wengi wenye miaka 50+ wako 100% brainwashed na maupumbavu ya Nyerere ndio maana nchi ni maskini na watu wanakufa. Tunao maaskari (wengine ni vijana wadogo sana) waoga na wako 100% brainwashed wako tayari kuua watu kisa kufuata maagizo toka JUU, na mishahara yao ya laki saba kwa laki tisa. Mshahara wa laki saba ndio ukufanye uwauwe vijana wenzako, laki saba na uhai wa mtu kipi cha thamani?


Waingereza waliposena Nyerere hafai, walikuwa mbele ya Muda.
 
Huu mfumo wa kindezi unawasaidia sana maCCM kuendelea kutafuna rasilimali za taifa. Ipo siku nchi hii itakombolewa kwa damu ya Yesu.
 
Nyerere pia ndo alikuambia ucopy na kupaste toka google translator bila ku-edit hata kidogo?
 
Nyerere pia ndo alikuambia ucopy na kupaste toka google translator bila ku-edit hata kidogo?
Ninaomba msamaha kwa kufanya hivyo. Ila kuna nyongeza ya kiswahili hapo chini. Naomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Nyerere ndio alitengeneza Systematic stupidity Tanzania. Huo mfumo utaibeba ccm milele. Labda yatokee maajabu
Mcahafuko peke yake ndio yataitoa ccm na kuleta mfumo mpya. Na uzuri sasa watanzania wameshaoyesha kuwa tayari kwa mabadiliko hata kwa kumwaga damu.
 
Faza alizungua kwenye muungano na mifumo ya kikomunisti tu

Ila kwenye umoja na ukabila alijitahidi sana kutuunganisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…