Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Sikiliza mzee wa nondo alivyokuwa akizimwaga mbele kujibu mashambulizi kutoka pande nne. Ikumbukwe kuwa Eleanor Roosevelkt ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa iliyodraft na kupitisha azimio la haki za binadamu.
Katika maongezi hayo ameongelea pia maoni yake kuhusu swala la kuzalisha umeme Stieglers Gorge enzi hizo, lakini utekelazaji umesubiri mpaka awamu ya tano!
Nimesahau kuongezea kuwa interview hii ilifanyika wakati SSH, JPM, na MKM hawajazaliwa! Mimi nilikuwa bado ninanyonya!!