Mwaka ganiSikiliza mzee wa nondo alivyokuwa akizimwaga mbele kujibu mashambulizi kutoka pande nne. Ikumbukwe kuwa Eleanor Roosevelkt ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa iliyodraft na kupitisha azimio la haki za binadamu.
Katika maongezi hayo ameongelea pia maoni yake kuhusu swala la kuzalisha umeme Stieglers Gorge enzi hizo, lakini utekelazaji umesubiri mpaka awamu ya tano!
Nimesahau kuongezea kuwa interview hii ilifanyika wakati SSH, JPM, na MKM hawajazaliwa! Mimi nilikuwa bado ninanyonya!!
Walitutangulia kutengeneza mikakati madhubuti ya kujenga DISCIPLINE. Kwenye swala la IQ tunafanana, na tunaweza kuwa tunawazidi katika maeneo mengine isipokuwa kwenye swala la DISCIPLINE hapo ndiyo wanatupita kwa mbali muno, wao wanayo 200 times ours!Huyu ndo alikuwa na uwezo wa kumsema mzungu akiwa amekaa nae meza moja... if you took my jacket there's no need of asking me if I'm ready to get it back, the question if it will fit me or not is not necessary, the fact is it's my jacket you have to give back my jacket
NimeshibaHuyu ndo alikuwa na uwezo wa kumsema mzungu akiwa amekaa nae meza moja... if you took my jacket there's no need of asking me if I'm ready to get it back, the question if it will fit me or not is not necessary, the fact is it's my jacket you have to give back my jacket
Na issue ya democracy alijibu very clear kwamba waafrika wote kwa wakati ule walikuwa wapinzani wa ukoloni hivyo haikuwa na maana kuunda vyama vya upinzani wakati wote wanadai uhuru. Vyama vya upinzani vingekuja baadae pale serikali itakapoanza kuhudumia wananchi ili vikosoe serikali itakapoenda ndivyo sivyo ila sio kuwa na vyama vya upinzani katikati ya harakati za kudai uhuru
Kuna baadhi wanamkosoa Nyerere kwa mengi lakini hawana budi kujua zama alizotawala Nyerere zilizokuwa na pressure kiasi gani
Kuanzia waafrika kuonekana hawana uwezo wa kujitawala, kugombaniwa na pande za communist na capitalist, umasikini wa wananchi, vibaraka ndani ya nchi, kushinikizwa kuongoza nchi Kama dunia inavyotaka, upungufu mkubwa wa wasomi ndani ya nchi.
Kuongoza nchi ukiwa umezungukwa na pressure zote hizo ni rahisi sana kufanya makosa hata ungekuwa geneous kiasi gani!
Kuna mtu kelele za wapinzani tu zilimfanya akose mwelekeo
Kuna mtu kelele za katiba mpya tu zinataka kumtoa kwenye reli
R.I.P Mwl. JK Nyerere
Hongera sana MkuuSikiliza mzee wa nondo alivyokuwa akizimwaga mbele kujibu mashambulizi kutoka pande nne. Ikumbukwe kuwa Eleanor Roosevelkt ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa iliyodraft na kupitisha azimio la haki za binadamu.
Katika maongezi hayo ameongelea pia maoni yake kuhusu swala la kuzalisha umeme Stieglers Gorge enzi hizo, lakini utekelazaji umesubiri mpaka awamu ya tano!
Nimesahau kuongezea kuwa interview hii ilifanyika wakati SSH, JPM, na MKM hawajazaliwa! Mimi nilikuwa bado ninanyonya!!
Huyu ndo alikuwa na uwezo wa kumsema mzungu akiwa amekaa nae meza moja... if you took my jacket there's no need of asking me if I'm ready to get it back, the question if it will fit me or not is not necessary, the fact is it's my jacket you have to give back my jacket
Na issue ya democracy alijibu very clear kwamba waafrika wote kwa wakati ule walikuwa wapinzani wa ukoloni hivyo haikuwa na maana kuunda vyama vya upinzani wakati wote wanadai uhuru. Vyama vya upinzani vingekuja baadae pale serikali itakapoanza kuhudumia wananchi ili vikosoe serikali itakapoenda ndivyo sivyo ila sio kuwa na vyama vya upinzani katikati ya harakati za kudai uhuru
Kuna baadhi wanamkosoa Nyerere kwa mengi lakini hawana budi kujua zama alizotawala Nyerere zilizokuwa na pressure kiasi gani
Kuanzia waafrika kuonekana hawana uwezo wa kujitawala, kugombaniwa na pande za communist na capitalist, umasikini wa wananchi, vibaraka ndani ya nchi, kushinikizwa kuongoza nchi Kama dunia inavyotaka, upungufu mkubwa wa wasomi ndani ya nchi.
Kuongoza nchi ukiwa umezungukwa na pressure zote hizo ni rahisi sana kufanya makosa hata ungekuwa geneous kiasi gani!
Kuna mtu kelele za wapinzani tu zilimfanya akose mwelekeo
Kuna mtu kelele za katiba mpya tu zinataka kumtoa kwenye reli
R.I.P Mwl. JK Nyerere
Na Nyerere asingekubali mfumo was vyama vingi tofauti na maoni ya wengi mpaka Leo tulikuwa na chama kimoja. Mwisho wa siku alisimamia uwepo was vyama vingi, tuwe na Moto wa shukrani hata kidogo.Nyerere alikua ni Dikteta uchwara acha kumpamba. Haikuwa na maana kuunda vyama vingi kwani yeye ndie aliekua na mamlaka ya kuwaamulia watanzania?
Na Nyerere asingekubali mfumo was vyama vingi tofauti na maoni ya wengi mpaka Leo tulikuwa na chama kimoja. Mwisho wa siku alisimamia uwepo was vyama vingi, tuwe na Moto wa shukrani hata kidogo.