Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mama yetu alikwenda Marekani akapokelewa na akina Mange Kimambi
View: https://www.youtube.com/watch?v=CHkjzIiuwmA
Hio katiba unayo kweli mkuu?Mnamkuza sana huyo mzee, muasisi wa ccm na katiba mbovu inayotutesa mpaka hii leo.
Hio katiba unayo kweli mkuu?
Mbona unakuwa mkali mkuu yani hadi kukosa kwako maisha unasingizia nyererejitoe tu ufahamu ila matatizo mengi ya nchi hii yeye ndo root source.
Ndugu yangu; elewa kuwa katiba tunayotumia leo haikuachwa na Nyerere; mwanasheria mkuu wa mwisho wakati wa Nyerere alikuwa Joseph Sinde Waryoba; wakati huo nchji ilikuwa na chama kimoja tu cha siasa. Katiba ya sasa imeandikwa wakati wa Andrew Chenge wakati wa vyama vingi na ndiyo ikapendelea vyama vingi pamoja na kuruhusu CCM kuchukua vitega uchumi ambavyo vilikuwa vya umma wakati wa Nyerere, kwa mfano viwanja vya michezo vyote. Kwa vile hukuewapo wakati wa utawala wake; kaa kimya tu kuhusu NyerereMnamkuza sana huyo mzee, muasisi wa ccm na katiba mbovu inayotutesa mpaka hii leo.
Ndugu yangu; elewa kuwa katiba tunayotumia leo haikuachwa na Nyerere; mwanasheria mkuu wa mwisho wakati wa Nyerere alikuwa Joseph Sinde Waryoba; wakati huo nchji ilikuwa na chama kimoja tu cha siasa. Katiba ya sasa imeandikwa wakati wa Andrew Chenge wakati wa vyama vingi na ndiyo ikapendelea vyama vingi pamoja na kuruhusu CCM kuchukua vitega uchumi ambavyo vilikuwa vya umma wakati wa Nyerere, kwa mfano viwanja vya michezo vyote. Kwa vile hukuewapo wakati wa utawala wake; kaa kimya tu kuhusu Nyerere
Basi wewe ni pumba kabisa.mwaka 1977 haukuwa wakati wa nyerere sio??
Halafu aliyeleta hicho chama kimoja nani kama sio yeye?
katiba hii imemfanya rais wa tanzania kuwa kama mungu halafu asibebeshwe lawama nyerere??
weka mahaba pembeni, tumia akili. Huyo mzee katuharibia sana nchi hii.
Basi wewe ni pumba kabisa.
Katiba ya mwaka 1977 ilikuwa ya kwanza chini chama kimoja baada ya TANU kuungana na ASP kuwa CCM.
Baada ya mfumo wa vyama vingi katiba hiyo ilifanyiwa marekebisho mara mbili kuanzia mwaka 1993 na hii tuliyo nayo leo ni ya mwaka 2000. Katiba aliyoacha Nyerere siyo tunayotumia leo. Amka kiakili! Awtu wa aina yako ndio wanaambiwa uwongo na mafisadi kuumeza bila kujua.
Naona Unarudia ujinga.unajua tofauti ya katiba na maboresho ya katiba?
kama maboresho ndio huleta katiba basi hii tunayoitumia ni ya 2005 ambayo ndio ilileta viti maalum.
halafu kulikuwa na ulazima gani wa nyerere kuleta chama kimoja?
tunatumia katiba mbovu ya 1977 iliyoasisiwa na nyerere,iliyompa rais wa tanzania mamlaka ya kuwa kama mungu na ndio inatutesa mpaka leo kama taifa.
Hii video ilishawahi kuwekwa hapa lakini hakuna ubaya kuirudia tena. Angalia pale sekunde ya 20 alivyopigiwa Saluti na Prince Charles ambaye sasa ndiye mfalme wa uingereza.
View: https://www.youtube.com/watch?v=0bSemyQSTv4
Mkuu, Tanzania ilikuwa ni nchi ya kijamaa (Eastern Bloc) au Non-aligned (Neural)?? Ninaomba unipe darasa tafadhali..!!!!Hapa alimtembelea Nyerere rasmi bila kuwapo kwa mkutano wowote wakati tayari Nyerere alishatanga Ujamaa na kujitegemea.