Nyerere alivyokuwa akiheshimiwa duniani

Nyerere alivyokuwa akiheshimiwa duniani

Mnamkuza sana huyo mzee, muasisi wa ccm na katiba mbovu inayotutesa mpaka hii leo.
 
Kuongea na Nyerere ilikuwa unatakiwa kwanza uweke kambi ya mwezi mzima ya kujiandaa kujipa mitihani ufaulu ndio uende ukajaribu kumkabili.🙁
 
Ila watoto na wajukuu wa nyerere waache wale bata tu ni haki yao..........mzee wao alikuwa Don wa kimataifa
 
Mnamkuza sana huyo mzee, muasisi wa ccm na katiba mbovu inayotutesa mpaka hii leo.
Ndugu yangu; elewa kuwa katiba tunayotumia leo haikuachwa na Nyerere; mwanasheria mkuu wa mwisho wakati wa Nyerere alikuwa Joseph Sinde Waryoba; wakati huo nchji ilikuwa na chama kimoja tu cha siasa. Katiba ya sasa imeandikwa wakati wa Andrew Chenge wakati wa vyama vingi na ndiyo ikapendelea vyama vingi pamoja na kuruhusu CCM kuchukua vitega uchumi ambavyo vilikuwa vya umma wakati wa Nyerere, kwa mfano viwanja vya michezo vyote. Kwa vile hukuewapo wakati wa utawala wake; kaa kimya tu kuhusu Nyerere
 
mwaka 1977 haukuwa wakati wa nyerere sio??
Halafu aliyeleta hicho chama kimoja nani kama sio yeye?
katiba hii imemfanya rais wa tanzania kuwa kama mungu halafu asibebeshwe lawama nyerere??
weka mahaba pembeni, tumia akili. Huyo mzee katuharibia sana nchi hii.
 
Basi wewe ni pumba kabisa.

Katiba ya mwaka 1977 ilikuwa ya kwanza chini chama kimoja baada ya TANU kuungana na ASP kuwa CCM.

Baada ya mfumo wa vyama vingi katiba hiyo ilifanyiwa marekebisho mara mbili kuanzia mwaka 1993 na hii tuliyo nayo leo ni ya mwaka 2000. Katiba aliyoacha Nyerere siyo tunayotumia leo. Amka kiakili! Awtu wa aina yako ndio wanaambiwa uwongo na mafisadi kuumeza bila kujua.
 
unajua tofauti ya katiba na maboresho ya katiba?
kama maboresho ndio huleta katiba basi hii tunayoitumia ni ya 2005 ambayo ndio ilileta viti maalum.

halafu kulikuwa na ulazima gani wa nyerere kuleta chama kimoja?

tunatumia katiba mbovu ya 1977 iliyoasisiwa na nyerere,iliyompa rais wa tanzania mamlaka ya kuwa kama mungu na ndio inatutesa mpaka leo kama taifa.
 
Naona Unarudia ujinga.

Katiba ni sheria mama ya nchi; karibu kila nchi duniani zina katiba zao. Katiba kama sheria nyinginezo huweza kufanyiwa marekebisho kwa kuandikwa upya yote au hata kufutwa. Kenya walifanyia marakebisho ya katiba yao mwaka 2010 na kuiandika upya kabisa. Mwaka 2014 hivi Tanzania tulikuwa tumeanza mchakato wa kufanyia marekenisho katiba yetu na mzee waryoba akatoa draft mpya kabisa ingawa haikutekelezwa. Unasumbuliwa sana na kivuli cha Nyerere nadhani kwa sababu ya ukatoliki wake kwani wengi wanaomchukia Nyerere hufundishiwa sehemu ambazo ukatoliki ni sumu, hivyo kwa sababu tu alikuwa mkatoliki anakuwa mtu mbaya.

Elekwa kuwa katiba ya sasa imneanbdikwa baada ya Nyerere kufariki. Wala hakusoma hata draft yake.
 
Ni miaka sitini Sasa wameproof wrong uhuru tulikurupuka
 
Hapa alimtembelea Nyerere rasmi bila kuwapo kwa mkutano wowote wakati tayari Nyerere alishatanga Ujamaa na kujitegemea.
Mkuu, Tanzania ilikuwa ni nchi ya kijamaa (Eastern Bloc) au Non-aligned (Neural)?? Ninaomba unipe darasa tafadhali..!!!!
 
Back
Top Bottom