Tanzania haikuwa Eastern bloc; ilikuwa nchi inayojaribu kujenga ujamaa lakini ikiwa non-aligned. Hata hivyo haikufanikiwa kujenga ujamaa na vile vile ilishindwa kuwa non-aligned ikaanza kufuata matakwa ya western bloc. Model ya Ujamaa ambayo Nyerere alitaka kufuata ni ile ya Sweden lakini umaskini ulituzidi mno, juhudi zote zikashindikana.