Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
- Thread starter
- #41
Tanzania haikuwa Eastern bloc; ilikuwa nchi inayojaribu kujenga ujamaa lakini ikiwa non-aligned. Hata hivyo haikufanikiwa kujenga ujamaa na vile vile ilishindwa kuwa non-aligned ikaanza kufuata matakwa ya western bloc. Model ya Ujamaa ambayo Nyerere alitaka kufuata ni ile ya Sweden lakini umaskini ulituzidi mno, juhudi zote zikashindikana.Mkuu, Tanzania ilikuwa ni nchi ya kijamaa (Eastern Bloc) au Non-aligned (Neural)?? Ninaomba unipe darasa tafadhali..!!!!