The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
-
- #41
Na huwezi kupigania katiba mpya chini ya mazingira yaliyopo kwani utaulizwa na wananchi mbona ulishapata wabunge zaidi ya 40% chini ya tume na katiba hii!? Kwa hiyo itaonekana kama mfa majikuna tofauti kubwa kwani wakati wa ukoloni walau sheria za uchaguzi ziliheshimika na kura zilihesabiwa kwa uwazi mkubwa aliyeshinda kashinda aliyeshindwa kashidwa, ila kwa sasa ni uharibifu mtupu, mauaji, utekaji wa wagombea na wizi wa kura wa wazi wazi - sasa kuepusha haya yote ni kheri kama kiongozi ukawaeleza watu wako kupigania katiba mpya na Tume iliyo huru ya uchaguzi.
Kupata wabunge hata 50% hakumaanishi kwamba kuna ustawi kwa demokrasia huru. Kushiba home kisiwe kigezo kwamba nyumba hiyo ina amani.Na huwezi kupigania katiba mpya chini ya mazingira yaliyopo kwani utaulizwa na wananchi mbona ulishapata wabunge zaidi ya 40% chini ya tume na katiba hii!? Kwa hiyo itaonekana kama mfa maji
Madai ya katiba mpya yatakuwa na nguvu chama kikiwa na wabunge wengiKupata wabunge hata 50% hakumaanishi kwamba kuna ustawi kwa demokrasia huru. Kushiba home kisiwe kigezo kwamba nyumba hiyo ina amani.
njia bora ya kudai katiba mpya ni kurudi kwa wananchi ambao ndiyo msingi wa mamlaka ya nchi ulipo.Madai ya katiba mpya yatakuwa na nguvu chama kikiwa na wabunge wengi
Utadai kupitia jukwaa lipi!? Chama cha siasa ni jukwaa rahisi la kuwaunganisha watunjia bora ya kudai katiba mpya ni kurudi kwa wananchi ambao ndiyo msingi wa mamlaka ya nchi ulipo.
Kutoshiriki uchaguzi kwa chama cha siasa ni pigo kubwa sana. Namkumbuka maalim seif alipojifanya kususia kule zanzibar jambo lile halikukisaidia chochote chama chake zaidi ya kukididimiza na sidhani kama angekuwepo eti umshauri asusie uchaguzi kama angekuelewa!! Sababu za wapiga kura kuchagua mtu A na sio B sio lazima iwe mapenzi kwa chama zipo sababu nyingi tofautitofauti lakini pia hujuma za uchaguzi hazipo kila jimbo, kwa hiyo kuwaondoa wagombea wa chama kunawaongezea hasira na kuwakatisha tamaa waliokusudia kupiga kura za hasira dhidi ya mgombea aliyesimamishwa na chama hata kama hakubaliki na wengi
Kwa mfano sasa hivi CDM wanafanya digital membership registration je wanawafikia wananchi kwa kutumia jukwaa lipi ? information flow sasa hivi kwa kutumia new technologies imerahisishwa sana ndugu - ni mambo ya kujipanga tu.Utadai kupitia jukwaa lipi!? Chama cha siasa ni jukwaa rahisi la kuwaunganisha watu
Aliyetudanganya kafa fyeeee kibudu chal chali kabisa. Hawaamini.Mlidanganywa sana