SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,836
- 1,846
Mimi si mshabiki sana wa madikteta lakini pia si mshabiki wa demokrasia ya Ulaya na Marekani
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi uongozi wa Mwalimu Nyerere ungeishia mwaka 72 Je angekuwa na umaarufu huu wa sasa? Au muda wa kutosha aliopewa ni kigezo pia cha kutekeleza mengi zaidi?
Je, angeishia 1962, nikimaanisha harakati alizosimamia kuanzia 1952 mpaka kupata uhuru 1961, Miaka 9, bado angekuwa na sifa sawa sawa na alizonazo kwa sasa?
Ukitafakari sana mitazamo iliyo hapo juu, then unaweza kupata majibu ya haraka kuwa uongozi ni karama na maono au uongozi ni muda na wakati.
Rais Museveni, Mugabe, etc waliokaa zaidi ya Nyerere (miaka mingi zaidi) madarakani je wamepata sifa sawa au zaidi ya Nyerere? Au Gadaffi wa Libya kwa muda aliokaa je unaweza mlinganisha na Mugabe au Museveni?
Haya sasa, na tuendelee kujiuliza tu