technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Alituvusha kwa kuvaa kaniki,kujipangia bidhaa,kufulia majani ya mpapai, kutembea kwa miguu. Kuweka betri chooni kuzipa Nguvu.Najua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba msaada ili kuwasaidia Watanzania na alifanikiwa
Leo ukiwatazama watawala wa leo hauoni haiba ya uongozi machoni mwao unaona wanaficha mambo unaona hawana plan za kuwasaidia watanzania ndani ya janga au baada ya janga,
Ushahidi ni janga la tetemeko kagera, kuzama kwa kivuko kule ukelewe, mafuliko na sasa janga la corona.
Ukiangalia kwa jicho la tatu huenda corona haitaua watu sana lakini itasababisha mtikisiko wa kiuchumi kwa watanzania wengine washaanza kupoteza ajira wengine mfano walimu wa private school mishahara yao imesimama je serikali inajua ni wananchi kiasi gani wameshapoteza kipato na jinsi ya kuwasaidia?
Baba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.
Kamfukue aje atuvushe.Najua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba msaada ili kuwasaidia Watanzania na alifanikiwa
Leo ukiwatazama watawala wa leo hauoni haiba ya uongozi machoni mwao unaona wanaficha mambo unaona hawana plan za kuwasaidia watanzania ndani ya janga au baada ya janga,
Ushahidi ni janga la tetemeko kagera, kuzama kwa kivuko kule ukelewe, mafuliko na sasa janga la corona.
Ukiangalia kwa jicho la tatu huenda corona haitaua watu sana lakini itasababisha mtikisiko wa kiuchumi kwa watanzania wengine washaanza kupoteza ajira wengine mfano walimu wa private school mishahara yao imesimama je serikali inajua ni wananchi kiasi gani wameshapoteza kipato na jinsi ya kuwasaidia?
Baba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.
Tusimhukumu mleta hoja.Ukikuta mtu anapenda Sana kurejea ya nyuma ujue keshafeli maisha huyo hana dira, Wakati huohuo sishangai Kwa sababu karibu binadamu wote tuko hivyo, tunapenda kuangalia tulikotoka, na Kwa ishara hizihizi, tutakuja tena kumkumbuka huhyuhuyu tunayemponda, ndivyo ilivyo huruka zetu
Hivi sio wewe ulikuwa unaomba covid-19 iingie Tanzania?!!Najua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba msaada ili kuwasaidia Watanzania na alifanikiwa
Leo ukiwatazama watawala wa leo hauoni haiba ya uongozi machoni mwao unaona wanaficha mambo unaona hawana plan za kuwasaidia watanzania ndani ya janga au baada ya janga,
Ushahidi ni janga la tetemeko kagera, kuzama kwa kivuko kule ukelewe, mafuliko na sasa janga la corona.
Ukiangalia kwa jicho la tatu huenda corona haitaua watu sana lakini itasababisha mtikisiko wa kiuchumi kwa watanzania wengine washaanza kupoteza ajira wengine mfano walimu wa private school mishahara yao imesimama je serikali inajua ni wananchi kiasi gani wameshapoteza kipato na jinsi ya kuwasaidia?
Baba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.
Mkuu, Uongozi ni kazi ngumu Sana, hasa ukikosa msimamo,Tusimhukumu mleta hoja.
Yeye kajaribu kulinganisha tena kwa mifano hai. Tunapompinga tupinge hiyo mifano aliyoitoa, Je kasema ukweli ?!.
Lakini pia nakubaliana hoja yako ya binaadamu kuona "Leo afadhali ya Jana"
Odhis *
Alafu wewe si ulikuwa unakesha ukifanya maombi coronavirus iingie Tanzania? Roho yako imefurahi sasa?Najua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba msaada ili kuwasaidia Watanzania na alifanikiwa
Leo ukiwatazama watawala wa leo hauoni haiba ya uongozi machoni mwao unaona wanaficha mambo unaona hawana plan za kuwasaidia watanzania ndani ya janga au baada ya janga,
Ushahidi ni janga la tetemeko kagera, kuzama kwa kivuko kule ukelewe, mafuliko na sasa janga la corona.
Ukiangalia kwa jicho la tatu huenda corona haitaua watu sana lakini itasababisha mtikisiko wa kiuchumi kwa watanzania wengine washaanza kupoteza ajira wengine mfano walimu wa private school mishahara yao imesimama je serikali inajua ni wananchi kiasi gani wameshapoteza kipato na jinsi ya kuwasaidia?
Baba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.
Si huwa mnasema Magufuli ni Nyerere ni kizazi hikiNajua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba msaada ili kuwasaidia Watanzania na alifanikiwa
Leo ukiwatazama watawala wa leo hauoni haiba ya uongozi machoni mwao unaona wanaficha mambo unaona hawana plan za kuwasaidia watanzania ndani ya janga au baada ya janga,
Ushahidi ni janga la tetemeko kagera, kuzama kwa kivuko kule ukelewe, mafuliko na sasa janga la corona.
Ukiangalia kwa jicho la tatu huenda corona haitaua watu sana lakini itasababisha mtikisiko wa kiuchumi kwa watanzania wengine washaanza kupoteza ajira wengine mfano walimu wa private school mishahara yao imesimama je serikali inajua ni wananchi kiasi gani wameshapoteza kipato na jinsi ya kuwasaidia?
Baba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.
Kumbuka mojawapo ya sababu kuu ya mwl nyerere kung'atuka ni baada ya kubain kuwa uchumi wa nchi umedolola. Chanzo kikubwa cha kudolola kwa uchumi wa nchi yetu ilikuwa ni hiyo vita ya Uganda. Hivyo elewa kiongozi akiwa madarakani kwa mda mrefu sana mbinu za uongozi sambamba na ubunifu zinafikia ukomo. Mara nyingi atatumia mbili za zamani kutatua matatizo ya sasa. Kwa hiyo lazima atashindwa.Najua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba msaada ili kuwasaidia Watanzania na alifanikiwa
Leo ukiwatazama watawala wa leo hauoni haiba ya uongozi machoni mwao unaona wanaficha mambo unaona hawana plan za kuwasaidia watanzania ndani ya janga au baada ya janga,
Ushahidi ni janga la tetemeko kagera, kuzama kwa kivuko kule ukelewe, mafuliko na sasa janga la corona.
Ukiangalia kwa jicho la tatu huenda corona haitaua watu sana lakini itasababisha mtikisiko wa kiuchumi kwa watanzania wengine washaanza kupoteza ajira wengine mfano walimu wa private school mishahara yao imesimama je serikali inajua ni wananchi kiasi gani wameshapoteza kipato na jinsi ya kuwasaidia?
Baba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.
Kwaiyo unamaanisha Magufuli ni Matakx 100 kweli
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angekuwepo kwenye Corona ndio angefanya nini?!.Leo ukiwatazama watawala wa leo hauoni haiba ya uongozi machoni mwao unaona wanaficha mambo unaona hawana plan za kuwasaidia watanzania ndani ya janga au baada ya janga,
Ushahidi ni janga la tetemeko kagera, kuzama kwa kivuko kule ukelewe, mafuliko na sasa janga la corona.
Baba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.
Majanga yanatusaidia kuishi kishetani kama ilivotakiwa na mkuu wa malaikaNajua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba msaada ili kuwasaidia Watanzania na alifanikiwa
Leo ukiwatazama watawala wa leo hauoni haiba ya uongozi machoni mwao unaona wanaficha mambo unaona hawana plan za kuwasaidia watanzania ndani ya janga au baada ya janga,
Ushahidi ni janga la tetemeko kagera, kuzama kwa kivuko kule ukelewe, mafuliko na sasa janga la corona.
Ukiangalia kwa jicho la tatu huenda corona haitaua watu sana lakini itasababisha mtikisiko wa kiuchumi kwa watanzania wengine washaanza kupoteza ajira wengine mfano walimu wa private school mishahara yao imesimama je serikali inajua ni wananchi kiasi gani wameshapoteza kipato na jinsi ya kuwasaidia?
Baba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.
Mtoto wa mwaka 90,unaongelea mambo ya vita vya kageraBaba wa taifa asingekubali, je watawala wa leo wanajali?.
Kutenda na kunena ni vitu viwili tofautiSi huwa mnasema Magufuli ni Nyerere ni kizazi hiki
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angekuwepo kwenye Corona ndio angefanya nini?!.
Sisi tuliokuwepo baaa ya vita vya Kagera, ile 1979, ilitangazwa miezi 18 ya kakaza mikanda, unajua ilichotokea na hiyo miezi 18 ilikwisha lini?.
Mwacheni Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere apumzike kwa amani, Tetemeko la Kagera alisababisha nani?, kivuko alikizamisha nani?, mafuriko ameleta nani, na sasa hii Corona kaleta nani?.
Kwa nchi masikini kama Tanzania ambayo wengi wa watu wake wanaishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, ili wale ni lazima watoke, hivyo hakuna kuwajali watu hawa zaidi ya kuwakabidhi kwa Mungu, ndicho alichofanya rais Magufuli na ikitokea ukatokea mlipuko kama wa Italy au Marekani, then huo ndio mpango wa Mungu kwa Tanzania.
P
Bro umeandika ukweli mtupu. Binafsi katika hii ishu ya Corona naona Rais katumia busara za hali ya juu. Halafu kwanini wakati huu hotuba zake ni za kinyenyekevu sana tofauti na hotuba zake wakati wa majanga mengine?Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angekuwepo kwenye Corona ndio angefanya nini?!.