Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Oct 13, 2022 #1 Your browser is not able to display this video.
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Oct 14, 2022 #2 Mohamed Said said: Click to expand... Mkuu Maalim Mohamed Said, asante kwa hii!, huku ndiko kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa vitendo. Kumuenzi Baba wa Taifa:CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla, Je Tunamuenzi Baba wa Taifa kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo?, Tunamuishi?. Nawatakia maadhimisho mema na mapumziko mema ya Nyerere Day. Paskali
Mohamed Said said: Click to expand... Mkuu Maalim Mohamed Said, asante kwa hii!, huku ndiko kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa vitendo. Kumuenzi Baba wa Taifa:CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla, Je Tunamuenzi Baba wa Taifa kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo?, Tunamuishi?. Nawatakia maadhimisho mema na mapumziko mema ya Nyerere Day. Paskali
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Oct 14, 2022 #3 Paschal na wewe andika kitabu uwezo unao na pia experience yako katika kipindi cha Nyerere itasaidia.
Paschal na wewe andika kitabu uwezo unao na pia experience yako katika kipindi cha Nyerere itasaidia.