28 May 2026
Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere 2026
UDSM
Nyerere Hakutaka Somo la Falsafa Kupewa Kipaumbe Kwenye Elimu Yetu' - Dr.Camillus Kassala
View: https://m.youtube.com/watch?v=bUMCKBv_7jk
Dr. Camillus Kassala mwanafunzi wa falsafa ambaye ni Mkurugenzi wa hadhi ya utu wa binadamu directorate of human dignity wa Baraza la Maskofu Katoliki akichangia mada kwenye Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere Mei 28, 2026, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM akimwakilisha katibu mkuu wa baraza la Maaskofu Katoliki padre Dr. Charles Kitima
Mwalimu Nyerere alipokwenda kusoma chuo kikuu cha Edinburgh Scotland na kuwasoma wanafalsafa Kigiiriki Italiano Thomas Aquino, Plato kisha Nyerere alipokuwa kiongozi wa Tanzania hakutaka waTanzania kuwa na nguvu ya kufikiri..
Kufukarishwa kwa utu wa mtu mwafrika kwa kuwaelekeza kuzungumzia Ujinga, Njaa, Umasikini kiwango cha kufikiri
University of Michigan Falsafa, Sayansi na Sanaa : https://www.umflint.edu/sw/case/philosophy/
Falsafa (kutoka neno la Kigiriki philosophia, lenye maana ya "upendo wa hekima") ni somo muhimu sana kwa sababu hutufundisha jinsi ya kufikiri badala ya nini cha kufikiri. Inakuza uwezo wa kufikiri kwa kina (fikra tunduizi), kutatua matatizo kwa mantiki, na kubuni misingi imara ya maadili.
Somo hili linabaki kuwa msingi wa maisha na taaluma mbalimbali kwa sababu kadhaa za msingi:
Source : https://www.umflint.edu/sw/case/philosophy/
Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere 2026
UDSM
Nyerere Hakutaka Somo la Falsafa Kupewa Kipaumbe Kwenye Elimu Yetu' - Dr.Camillus Kassala
View: https://m.youtube.com/watch?v=bUMCKBv_7jk
Dr. Camillus Kassala mwanafunzi wa falsafa ambaye ni Mkurugenzi wa hadhi ya utu wa binadamu directorate of human dignity wa Baraza la Maskofu Katoliki akichangia mada kwenye Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere Mei 28, 2026, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM akimwakilisha katibu mkuu wa baraza la Maaskofu Katoliki padre Dr. Charles Kitima
Mwalimu Nyerere alipokwenda kusoma chuo kikuu cha Edinburgh Scotland na kuwasoma wanafalsafa Kigiiriki Italiano Thomas Aquino, Plato kisha Nyerere alipokuwa kiongozi wa Tanzania hakutaka waTanzania kuwa na nguvu ya kufikiri..
Kufukarishwa kwa utu wa mtu mwafrika kwa kuwaelekeza kuzungumzia Ujinga, Njaa, Umasikini kiwango cha kufikiri
The Chanzo
Kwa ufupi nini Falsafa :University of Michigan Falsafa, Sayansi na Sanaa : https://www.umflint.edu/sw/case/philosophy/
Falsafa (kutoka neno la Kigiriki philosophia, lenye maana ya "upendo wa hekima") ni somo muhimu sana kwa sababu hutufundisha jinsi ya kufikiri badala ya nini cha kufikiri. Inakuza uwezo wa kufikiri kwa kina (fikra tunduizi), kutatua matatizo kwa mantiki, na kubuni misingi imara ya maadili.
Somo hili linabaki kuwa msingi wa maisha na taaluma mbalimbali kwa sababu kadhaa za msingi:
- Hujenga Fikra Tunduizi: Falsafa inakufunza kudadisi mambo, kutokubali kila kitu bila uthibitisho, na kupambanua kati ya hoja dhaifu na hoja zenye mashiko.
- Mwongozo wa Maisha na Maadili: Inakusaidia kujenga falsafa yako ya maisha—kama vile misingi ya uvumilivu au msimamo—inayokupa utulivu hata unapokabiliwa na changamoto ngumu.
- Kuboresha Mawasiliano na Uandishi: Hukuza uwezo wa kujenga hoja zenye mantiki na kueleza mawazo yako kwa uwazi na ushawishi.
- Hukuza Hekima: Inakupa nafasi ya kujitathmini wewe mwenyewe, jamii, na ulimwengu kwa mapana zaidi.