Nyerere hakuwahi kupata tunzo ya Nobel

Ni Kiko au Jacob Tesha? Anyway, De klerk naye alikuwa mbaguzi na dikteta. Yeye alibagua, aliua na kufunga weusi na dunia ilitambua. Mwisho wa siku alipewa tuzo pamoja na mzee Mandela. Kwa maoni yangu wala huyu kaburu hakustahili. Yeye na Nyerere kuna tofauti kubwa sana. Nyerere alikuwa na mrengo wa kuikomboa kusini ya Afrika. Hao critics hawakujua kuwa mapigano yanahusisha mauaji pia? Obama anavyotuma ndege tupu nchi za watu kwenda kupeleleza na kushambulia hawaoni?
 
Ni nani awezaye kuuzawadia mkuki uliomjeruhi?Kila jambo na wakati wake angezawadiwa vipi wakati alikuwa mstari wa mbele kuondosha minyororo ya wakoloni? tena kwa kutumia mtutu wa bunduki!hapo amani inatoka wapi?
 
Ye mbona hapa hakutumia huo mtutu wa Bunduki matokeo yake tukapewa uhuru mdebwedo?
 
Hapo kwenye bold, hebu tujuze, mali zilitaifishwa kwa madhumuni gani, na baada ya kutaifishwa zilitumika kwa manufaa ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…