Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

Ulienda kusomea ujinga shuleni? Nimekuuliza halafu Na wewe unauliza!

Kamuulize kardinali wako pengo aliyekuambia muungano umeletwa na mungu na anakuambia uulinde kwa hali yoyote






 
Pole sana wewe mtoto wa pengo .Umesoma kwenye maskani ni nani Nyerere.??? Pole sana . Watu wamefungwa kwa kukutwa na dola 5 tu za kimarekani mfukoni. Mbeya watu wakibadilisha dhahabu kwa chumvi. Huko jela ndiyo usiseme .
Hapa kwenye kubadilishana dhahabu kwa chumvi umenikumbusha biashara ya utumwa...Mwanadamu kupigwa mnada kama Samaki sokoni...

Utumwa ni kitu kibaya sana...Na ndiyo maana mwenye kumkomboa Mtumwa hulipwa fadhila kubwa sana na Mungu..
 
Mkuu umeandika hoja nyingi lakini kuhusu Nyerere; alikuwa binadamu kama tulivyo sisi, kwa hiyo isingewezekana asifanye makosa ukizingatia ilikaa madarakani miaka zaidi ya 20. Lakini mema mengi aliyolitendea Taifa letu yamfanya kuendelea kuwa nuru na alama sahihi ya utu wema na uongozi kwa ajili ya watu. Makosa machache ya Nyerere kamwe hayatafanya wema wake usahaulike katika mioyo ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla.
Umetoka nje Ya mada ndugu, inamaana umeusoma utangulizi ndugu
 
Mkuu yawezekana unayasema yana ukweli flani ndani yake, lakini hatuwezi kumtwisha Nyerere zigo lote hilo, kumbuka nchi ina taasisi. Zanzibar ina serikali yake, kwa nini unamsema Nyerere

Akina nani hao walioteswa, kuuliwa, kunajisiwa na mali zao kuchukuliwa kwa nguvu na Nyerere alihusikaje? Kwa jamii zilizo staarabika siyo vizuri kuyatumia makosa madogo madogo ya serikali zilizopita kwa faida za kisiasa nk. Lakini ukumbuke kujenga Taifa kama ilivyo Tanzania siyo kazi ya mchezo. Ndiyo maana Tanzania unaweza ukakuta Mkristo anaitwa Juma, Hamis n.k ama Muslam anaitwa Walliam na wanakuwa comfortable kabisa. Unaweza ukafikiri ni jambo dogo lakini viongozi wa kwanza wali- invest hekima na busara. Kwayo huenda hao unaowasema walikuwa wanakwamisha juhudi za ujenzi wa Taifa.
Hamna Muislam anaitwa William
 
uloleta hii mada kifupi tukwambie tu kuwa unafeli sana,hautofanikiwa na huu mkakati wako,uzanzibar wako peleka huko huko,kwani nani unahisi anautaka huu muungano/sie pia hatuutaki,wafia dini bwana,umuache mzee wetu apumzike kwa amani,binafsi sitosita kusema kuwa katufanyia makubwa sana watanganyika,hata kama ana makosa aliyafanya ndio hayo yalifanya ubinadamu wake ukamilike,usipokuwa na makosa basi wewe si binadamu ni malaika,so kifupi nenda kafie mbele ya safari...
Kwa sababu alikuwa mtanganyika ati
 
Sema lingine hapo kwa Baba wa Taifa, hatuta kuelewa... Waiter lete Grand Malt Baridiiii, halafu niitie mtu wa jikoni. Kuna mtu kaniboa JF.
 
Back
Top Bottom