Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

Mwandishi wa hii makala una upeo mdogo sana. Pole sana. Nakushauri utumie upeo finyu ilio nao katika kuwasaidia wazanzibari kufanya kazi na bidii katika elimu ili kuondokana na umasikini walionao badala ya kusukuma lawama zote kwa Mzee wetu ambaye tunamjua na kumuheshimu.
 
Nani alikulazisha kusoma??
Wewe ndiye mtu ambaye unaweka kichwa katika mchanga na matako yanabaki nje. Mimi in Nyerere,ukiandika kuhusu Nyerere ninayo sababu ya kusoma. Matatizo ya Pemba,Mwigulu Nchemba amesema Jana alipokuwa Pemba:no wanasiasa wanawachochea wananchi wapenda a man I.
Kulipokuwa hakuna Muungano ilipotokea vutumaa balaa kule,Karume na Thabit Kombo wakapanda jahazi kuja Dar kushitakikwa Mwalimu. Nani aliwalazimisha kuja? Nakupa historia,from the horse's mouth. Thabit Kombo ameelezea uhasama ulikuwepo kati ya Waarabu na Waafrika Unguja. Inakuwajeje huyu mtu ameibuka na thesis kwamba ugomvi na Waarabu kule umechochewa na Nyerere.
Wakibaki wenyewe watapatana vipi? Watawaza tu:"Yule mtu ndiye aliwaua wazazi wangu katika Mapinduzi"
 
Hebu tulia uandike ufahamike , wewe tunakujua vizuri , tukiyaanika hayo ya mtoto wa nyerere utapata ugonjwa wa moyo na picha tunazo.

Matatizo ya Zanzibar yameletwa na kanisa katoliki huku likimtumia huyo nyerere .Kanisa katoliki bado linaendelea kuitesa Zanzibar kama mnavyoambiwa muulinde kwanjia zote muungano kwa vile ameuleta Mungu.

Kwa taarifa yako hebu msome Kardinali Pengo anaongea kitu gani???

Hakuna ugomvi wowote kati ya Unguja na Pemba .

Wapemba wengi wameowa na kuolewa na watu wa unguja .

Kama Nyerere anavipenda visiwa vya unguja na Pemba angaliingiza dhahabu na almasi kwenye muungano na asingaliyaingiza mafuta ya Znz kwenye muungano kinyemela.
 
Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

by RAIA MWEMAin HABARI

ALIPOFARIKI dunia Mwalimu Julius Nyerere Oktoba 14 mwaka 1999, gazeti la Guardian la Uingereza liliniomba niandike makala maalumu ya kuyatathmini maisha yake.

Nilipokuwa naanza kuiandika tathmini hiyo iliyochapishwa siku ya pili yake, niliyakumbuka aliyowahi kuyasema Mwenyekiti Mao wa China kumhusu Josef Stalin, mtawala wa pili wa Muungano wa Sovieti baada ya Vladimir Lenin.

Nami nikayatumia maneno hayohayo kuanzia makala yangu kwa kuandika: Julius Nyerere was "a great leader who made great mistakes," as one ruler once famously said of another.(“Julius Nyerere alikuwa “kiongozi mkubwa (adhimu) aliyefanya makosa makubwa,” chambilecho mtawala mmoja aliyewahi kumuelezea hivyo mtawala mwenzake.)

Nyerere alifanya makosa ya kinadharia, ya kifikra na ya kiutendaji katika utekelezaji wa sera zake. Sikulidhukuru jina la Stalin kwa sababu sikutaka wasomaji wangu wafanye kosa la kudhania namfananisha Nyerere na Stalin. Siamini kama Nyerere alikuwa na uovu wa Stalin. Na kama ilivyokuwa kwa Stalin si yote ya Nyerere yaliyokuwa maovu. Alitenda mema yanayostahiki sifa.

Watu wa kale wasema: “Kheri ya mja ni ulimi wake na shari ya mja ni huohuo.” Kwa ulimi wake Nyerere aliwahi kutamka maneno ya maana na mengine ya kibahaluli. Baadhi ya maneno yake yalikuwa kama lulu na baadhi yalikuwa kama utumbo kama pale, kwa mfano, aliposema kuwa hakuna watu waitwao Waswahili. Nilimsikia akiyasema hayo alipotoa hotuba katika ukumbi wa London School of Economics alipokuwa ziarani London kabla ya kuuacha urais.

Yote hayo yaonyesha kwamba Nyerere alikuwa mja, mtu kama watu wengine. Hakuwa Mungu, hakuwa malaika. Wala hakuwa mtume na hata hakuwa mpigaji ramli. Na si kila alichokitamka kilikuwa sahihi. Lakini binadamu yule alikuwa na ulimi uliowalaza wengi na kuwafanya waache kufikiri kwani alikuwa na kipaji cha kuwafanya waamini kwamba kila alilolisema lilikuwa la kweli kabisa na hivyo hapakuwa na haja ya kumfanya mtu mwengine alifikirie. Ilikuwa nadra kumpata mtu aliyethubutu kumpinga au kumkosoa, hasa kadamnasi. Walikuwapo waliochelea kukiona cha mtema kuni na wengine waliridhia kuwa vibarakalla vya kuitika tu ‘hewala bwana.’

Moja ya makosa makubwa aliyoyafanya Nyerere kwa kusudi au kwa sadfa, ni hilo la kuwafanya wananchi wenzake waache kufikiri na wawe wanayafuata tu aliyokuwa akiyasema bila ya kuyazingatia au kuyapima.

Miongoni mwa aliyowahi kuyasema Nyerere ni kuwa ati iwapo Zanzibar itaachana na Tanganyika basi Tanganyika kutakuwa shuwari lakini Wazanzibari wataanza kubaguana baina ya Wapemba na Waunguja na halafu wataendelea kutafutana asili zao.

Tangu wiki iliyopita waandishi kadhaa wa Bara wamekuwa wakiyanukuu haya kana kwamba ni maneno yenye ukweli usiopingika. Hii ni fitna tu; na inatumiwa kuwatisha na kuwagawa Wazanzibari.

Wakoloni walipowaona wanaowatawala wanaungana kuwapinga, basi walitumia mbinu ya kuwagawa wazidhoofishe nguvu zao ili waendelee kuwatawala.

Mbinu kama hiyo inatumiwa siku hizi na baadhi ya viongozi wa CCM wa Bara pamoja na baadhi ya waandishi wa huko huko Bara ‘walioshtushwa’ na mwamko wa kisiasa uliowafanya Wazanzibari wawe na ujasiri wa kuujadili kwa mapana na marefu Muungano wa Tanzania.

Ujasiri huo umewafanya wengi wao waseme kwamba ama wanaupinga muundo wa sasa wa Muungano au hawautaki kabisa na wanataka Zanzibar iwe dola huru yenye mamlaka yake kamili.

Huo si mwamko wa leo au wa jana; tumekuwa tukiugusia miaka nenda miaka rudi lakini tukionekana kuwa ni wazushi na wazandiki. Sasa mambo yanajidhihiri yenyewe. Matokeo yake ni kwamba waliokuwa wakijidanganya sasa wamegutuka na hawajui jinsi ya kulizuia hilo wimbi la uzalendo Wakizanzibari minghairi ya kutumia hoja finyu za kikabila na udini.

Mmoja amefika hadi ya kuandika kuhusu ‘Waarabu’ na ‘watu Weusi’ kana kwamba hao wanaonasibishwa na uarabu ni wa rangi aina ya pekee iliyo tofauti kabisa na ya Wazanzibari wasio na asili ya Kiarabu. Mwandishi huyohuyo alitishwa na sura rahimu ya Sheikh Farid Hadi Ahmed, mmoja wa viongozi wakuu wa Uamsho.

Aliandika kwamba baada ya kuiona picha ya Sheikh Farid yalimjia mawazo kwamba Uamsho si jumuiya ya kidini na wala si ya Wazanzibari na kwamba Sheikh Farid ametumwa (hakusema na nani) kuwafitinisha Wazanzibari. Alichotaka kusema mwandishi huyo ni kwamba kwa vile Sheikh Farid ana asili ya Kiarabu basi Uamsho inataka kuurejesha usultani.

Ni uchambuzi uchwara, tena wenye kutumia lugha ya kibri. Unashtua kwa vile ni ‘uchambuzi’ wa hatari unaofanana na simulizi za Wahutu wa Rwanda kabla ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini humo.

Hizi fitna za ‘Upemba’ na ‘Uunguja’, za ‘ubwana’ na ‘utwana’ na za ‘ugaidi’ wa Uamsho ni fitna zinazotiwa na watu walio maluuni. Lengo lao kubwa ni kuwapotosha Wazanzibari wauzime mjadala wa Muungano. Hawajali iwapo watalitimiza lengo hilo kwa kuyakiuka maadili ya uongozi au ya uandishi.

Hila wanazotumia ni kwanza, kuwafitinisha Wazanzibari kwa kutia fitna za kikabila na za kidini. Kwa mfano, wanawatisha wahafidhina wa CCM/Zanzibar, wale wenye kusherehekea kaulimbiu ya ‘Mapinduzi Daima’, kwa kuwaonya ya kuwa Uamsho ina “msukumo wa kiarabu” na kwamba kusudio lake ni hatimaye kuyapinga Mapinduzi na kuirejesha Zanzibar katika ‘utumwa’. Maneno ya kijinga kabisa.

Hila yao ya pili ni kuwagonganisha vichwa Waunguja na Wapemba kwa kutumia hoja zisizo na mshiko wowote wa kimantiki. Wanasema wamewapata Wapemba wengi wenye kutaka Muungano uendelee kama ulivyo. Wamewahoji na matamshi yao kusambazwa na magazeti fulani nchini. Huu ni mfano mzuri wa propaganda ya kitoto.

Hila yao ya tatu ni kutumia lugha kuparaganya mambo. Ingawa Uamsho ni jumuiya kamili wao badala yake wanasema kuwa hiki ni kikundi. Sio kundi bali ‘kikundi.’ Na wanaishtumu jumuiya hiyo kuwa ‘inawatumia’ baadhi ya vijana kufanya vitendo vya kihuni vya kuchoma moto makanisa. Hakuna ushahidi wa hili.

Nne, wanajaribu kuwatisha Watanzania na hasa wakuu wa dunia hii kwa kuifananisha Jumuiya ya Uamsho na mitandao ya kigaidi ya Al-Qa’eda, Boko Haram na Al-Shabab. Bila ya shaka wenye kueneza fitna hii hawajui walisemalo na wanajikashifu si mbele ya Watanzania wenzao tu bali hata machoni mwa balozi za nchi za Magharibi.

Sijui kama wanaelewa ya kuwa maofisa wa baadhi ya balozi za Magharibi wameshakutana na viongozi wa Uamsho katika juhudi zao za kuitathmini Jumuiya hiyo na wanayaelewa makusudio halisi ya Uamsho.

Kwa hakika, kinyume na wanavyoandika baadhi ya waandishi wa Bara, Jumuiya ya Uamsho haikuzuka juzi. Imekuwako kwa muda wa takriban miaka 10 sasa. Jumuiya hii ni kama mwavuli ambao chini yake kuna jumuiya mbalimbali za Kiislamu, pamoja na ile ya maimamu.

Uamsho imekuwa ikiendesha harakati zake kwa msaada wa taasisi za nchi za Magharibi. Ilikuwa miongoni mwa waangalizi rasmi wa Uchaguzi Mkuu uliopita na ripoti yake kuhusu uchaguzi huo ni ya kupigiwa mfano kwa maelezo yake ya kina.

Kati ya wafadhili wa Jumuiya hiyo katika harakati hizo za kuangalia uchaguzi lilikuwa shirika la USAID la Marekani. Hata vizibao wanavovaa baadhi ya viongozi wa Uamsho na vikuza sauti vyao walipewa na Wamarekani wakati huo wa uchaguzi uliopita.

Wenye kujuwa mambo watakwambia kwamba kuna tofauti kubwa kama ya mbingu na ardhi kati ya jumuiya ya Uamsho na mtandao wa Al-Qa’eda au kundi la al-Shabab. Huwezi kabisa kuzifananisha falsafa zao au makusidio yao. Hata Boko Haram nayo licha ya mbinu inazozitumia inatofautiana sana na al-Qa’eda.

Huko Zanzibar mafatani hawa wana washirika wanaojulikana. Nao ni wale wanaochomwa na kuwapo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Ndiyo maana wakaruka harakaharaka kuwatupia lawama za machafuko ya hivi karibuni viongozi wa CUF waliomo kwenye SUK na kutaka watimuliwe kutoka serikalini. Na ni wao waliohusika na vipeperushi vilivyotolewa wiki iliyopita kuwafitinisha Wapemba na Waunguja.

Na ni haohao wenye kujaribu kuwachimba waasisi wakuu wa Maridhiano yaani Rais mstaafu Amani Abeid Karume na Maalim Seif Sharif Hamad.

Inasikitisha kuwaona baadhi ya Wabara wenye kujigamba kuwa ni wasomi wakitaka mijadala ya kisiasa ipigwe marufuku katika majukwaa ya kidini. Hawaelewi kwamba ni dhima ya dini za Ukristo na Uislamu kuzungumzia na kuyatafutia ufumbuzi mambo yanayoyagusa maisha ya kila siku ya waumini wa dini hizo. Na mambo hayo yawe yepi kama si ya kisiasa?

La kutisha ni kuwa ‘wasomi’ hao wanamtaka Rais Jakaya Kikwete awachukulie hatua za kimabavu wakuu wenzake walio serikalini kwa kisingizio kuwa ati wanaunga mkono harakati za Uamsho.

Ulimwengu haukufunga macho wala haukuziba masikio. Unawaona na kuwasikia. La ajabu ni kwamba wanasiasa na waandishi wenye kuchochea hisia kama hizo wamesahau ni nyakati gani tulizo nazo na ni ulimwengu gani tulio nao. Katika ulimwengu wao wa leo Wazanzibari wanasema hawakubali tena kugawanywa kwa propaganda za kikabila au za kidini.

Inatisha kwamba kuna wanasiasa na waandishi waliosahau kwamba siku hizi kuna Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC) na mahakama nyingine mahsusi za kimataifa, mithili ya ile Mahakama Maalumu ya Sierra Leone. Mahakama kama ile ya Sierra Leone inaweza kuundwa mara moja na Umoja wa Mataifa kuwatia adabu wenye kupalilia fitna zinazoweza kuzusha mauaji ya kimbari.

Ni hiyo Mahakama Maalumu ya Sierra Leone iliyomhukumu Charles Taylor, rais wa zamani wa Liberia, kifungo cha miaka 80 baada ya kupatikana na hatia ya kuishushia nakama Sierra Leone.

Dhana waliyonayo baadhi ya wasomi na waandishi wa Bara ni kwamba viongozi wa Uamsho ni mijitu isiyosoma. Kuna mmoja aliyepandwa na jeuri na kuandika kwamba mbali na kujua kusoma Qur’an viongozi hao ni watu wasiojuwa kuandika wala kusoma.

Ukweli ni kwamba viongozi wa Uamsho ni wasomi waliohitimu masomo ya chuo kikuu na wana shahada za juu za uzamili katika fani mbalimbali kama vile za uhandisi, sayansi na jiografia. Ni wasomi wa nyanja zote — za dini na dunia.

Mfano mzuri ni Sheikh Msellem ambaye mbali na kuwa gwiji wa tafsiri ya Qur’an pia alisomea taaluma ya hali ya hewa.

Baadhi yao walisoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambako walivutiwa na hotuba za kidini za Professor Malik, mtaalamu wa fani ya hesabati, ambazo ziliwashajiisha na kuwafanya wawe na mwamko wa Kiislamu. Wengine walisoma kwenye vyuo vikuu vya nje vikiwemo vile vya Sudan, Saudi Arabia na Qatar.

Ni wazi kutokana na ripoti na taarifa zao kwamba baadhi ya wasomi na waandishi wetu wa Bara wanawadharau Wazanzibari. Nadhani hizo dharau zao ndizo zinazowafumba macho wasiweze kuona nani hasa aliyechochea fukuto hili la upinzani dhidi ya makandamizo ya walioshika hatamu za utawala wa Muungano.

Maandishi yao yamebainisha wazi kwamba hawaamini ya kuwa Unguja na Pemba si majimbo wala koloni za Bara. Inakirihisha kuona namna wengi wao wanavyozitapika hadharani chuki zao (na udini uliowapamba) bila ya hata staha na uvumilivu wa kimaadili.
Wewe unatokea visiwani?
 
Hebu tulia uandike ufahamike , wewe tunakujua vizuri , tukiyaanika hayo ya mtoto wa nyerere utapata ugonjwa wa moyo na picha tunazo. Matatizo ya Zanzibar yameletwa na kanisa katoliki huku likimtumia huyo nyerere .Kanisa katoliki bado linaendelea kuitesa Zanzibar kama mnavyoambiwa muulinde kwanjia zote muungano kwa vile ameuleta Mungu. Kwa taarifa yako hebu msome Kardinali Pengo anaongea kitu gani??? Hakuna ugomvi wowote kati ya Unguja na Pemba .Wapemba wengi wameowa na kuolewa na watu wa unguja .Kama Nyerere anaavipenda visiwa angaliingiza dhahabu na almasi kwenye muungano na asingaliyaingiza mafuta ya Znz kwenye muungano
SIri ya kudumisha amani,kama wanavyosema Unguja ni kwamba usikubali kuchokozeka. Kama unafahamu mtu anayeongea anayeongea na wewe amekunywa viroba,usikasirike. Kama unafahamu mtu amekunywa viroba jana au atakunywa viroba leo usiku.kwa mini ukubali kuchokozwa na huyo? Wanaleta udini mahali ambapo haihusiki. Race War imetokea. Zanzibar Revolution ilikuwa Race War. Karume alipelekwa mahakamani NA British Colonists. Wakamuuliza"Unajua zile fujo ulizoanzisha walikufa Waarabu 75?" Karume akajibu"Ulitaka wafe nani? Ulitaka wafe Waafrika 75?"
 
Hizo ss ni chuki binafsi au alikuchukulia mke nin

Mwenye chuki ni huyu

Jumatatu, 2 Mei 2016

Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.

Kardinali Pengo anasema ni jambo la kushangaza jinsi Mungu anavyotenda mambo yake kwa wanadamu kwani alileta Imani Katoliki kupitia Zanzibar na kwamba baada ya Uhuru Mungu aliwapatia neema watu wake wa pande mbili za Zanzibar na Tanganyika kuungana na kuwa kitu kimoja.

Anasema wakati Kanisa likijiandaa kwa adhimisho la Jubilei ya miaka 150 ya uwepo wa Kanisa Katoliki katika eneo la Afrika Mashariki ifikapo 2018 Zanzibar haiwezi kuwekwa pembeni.
 
SIri ya kudumisha amani,kama wanavyosema Unguja ni kwamba usikubali kuchokozeka. Kama unafahamu mtu anayeongea anayeongea na wewe amekunywa viroba,usikasirike. Kama unafahamu mtu amekunywa viroba jana au atakunywa viroba leo usiku.kwa mini ukubali kuchokozwa na huyo? Wanaleta udini mahali ambapo haihusiki. Race War imetokea. Zanzibar Revolution ilikuwa Race War. Karume alipelekwa mahakamani NA British Colonists. Wakamuuliza"Unajua zile fujo ulizoanzisha walikufa Waarabu 75?" Karume akajibu"Ulitaka wafe nani? Ulitaka wafe Waafrika 75?"

Anayeleta udini ni huyu na kanisa lake

Kama mafia ni bara utajua mwenyewe, suka au nyoa

tupitie baadhi ya facts badala ya kubishana tu na kupiga ngonjera zisizo na maana.

1. muungano wa nchi yoyote ukahusisha kisiwa au visiwa ni lazima utakuwa na changamoto nyingi na matatizo sana. hata taifa kubwa kama china wameshindwa kuidhibiti taiwani. maridhiano na maelewano yasiyotumia nguvu ndio mbadala mzuri.

truth and reconciliation ni muhimu sana kwa zanzibar ...watu wana madonda na majeraha ya miaka mingi sana. si rahisi kuyatibia kwa kufunika kombe au kutumia mabavu.

watu wengi wa visiwani ni wakarimu sana . mfano wabara au watanganyika wengi hawajawahi kufika pemba . mimi nimefika mara kadhaa na inasikitisha sana kuona tofauti kubwa ya unguja na pemba. pemba wapo nyuma kimaendeleo na ustawi wa jamii ingawa wao ni wazalishaji zaidi ,kwa mazao ya chakula na biashara.

2. visiwa vina landmarks zake za asili ...natural landmarks ...na nadharia inasema hivyo, watu wa visiwa watakuwa na utaifa zaidi au patriotism zaidi....

3. zanzibar ina historia kubwa zaidi na ni maarufu duniani kuliko Tanganyika au Tanzania.

nitaendelea
 
Umeongea kistaarabu , nakuheshimu

Ukweli ni kuwa watu wa bara na visiwani wana maingiliano makubwa sana kabla hata huu uitwao muungano.

Siasa za uwindakumili za Nyerere kwa utashi wake wa kidini ndio unaojaribu kuvuruga huu muungano ambao si wa kisiasa.

Kikwete alikuja na suluhisho la kudumu la ku-solve hizi tofauti na migongano lakini kutokana na pressure za akina Lukuvi na genge lake haikuwezekana na akalazimika kufanya yaliyofanyika kuongeza chumvi kwenye kidonda.

hali tuliyofika inaeleweka . Bara na visiwani hatujui tunakoelekea
 
SIri ya kudumisha amani,kama wanavyosema Unguja ni kwamba usikubali kuchokozeka. Kama unafahamu mtu anayeongea anayeongea na wewe amekunywa viroba,usikasirike. Kama unafahamu mtu amekunywa viroba jana au atakunywa viroba leo usiku.kwa mini ukubali kuchokozwa na huyo? Wanaleta udini mahali ambapo haihusiki. Race War imetokea. Zanzibar Revolution ilikuwa Race War. Karume alipelekwa mahakamani NA British Colonists. Wakamuuliza"Unajua zile fujo ulizoanzisha walikufa Waarabu 75?" Karume akajibu"Ulitaka wafe nani? Ulitaka wafe Waafrika 75?"

CRUSADE AFTER INDEPENDENCE

It was not until recently when the study of Islam in East Africa has attracted much attention of contemporary scholars. But most of them neglect the Crusades against Islam in East Africa, and Zanzibar in particular. It is neglected because such a religious conflict seems to belong to the Middle East, despite the Crusade against Islam is ecumenical imperative in any Muslim country, including Zanzibar. In case of the Catholic Crusade in Zanzibar, Nyerere worked hand in glove with Oscar Kambona, his close confidante and schoolmate at the Edinburgh University, where in 1910, the Second World Conference of Churches (WCC) discussed the threat to Islam in East Africa. It was unanimously agreed that an African Christian is better (for leadership) than an African Muslim. Every sort of assistance was therefore given to Nyerere in order to combat Islam in East Africa after the demise of the British Colonialism.

When Tanganyika gained its independence in 1961, Jomo Kenyatta of Kenya, Milton Obote of Uganda and Julius Nyerere of Tanganyika had a Summit Meeting at Nairobi on June 5, 1963. In this conspiracy of the Christian leaders, Zanzibar was neither represented nor mentioned in this Summit. These leaders unanimously pledged their selfish regional Declaration under the spirit of Pan-Africanism:

We (Nyerere, Obote and Kenyatta), the leaders of the people and Governments of East Africa (i.e. Tanganyika, Uganda and Kenya)...pledge ourselves to the political federation of East Africa and we are prompted by the spirit of Pan-Africanism, and not by mere selfish regional interests. (p. 1).

When Zanzibar gained independence on December 10, 1963 from the British government, it became a member of the Commonwealth nations. It joined the United Nations on December 16, 1963 and was represented by Hilal bin Muhammed bin Hilal. But when the new Zanzibar Government declared to form the model of the Islamic State, it was orchestrated by Afro-Christian Crusaders as reincarnation of Arabisation and revivalism of Islamization. They invaded Zanzibar in the midnight of January 11, 1964 under the self-appointed "Field Mashal" John Okello, a militant Christian from Uganda. The objective of the Zanzibar revolution was a Crusade against Islam as Okello stated in his book entitled Revolution in Zanzibar that God appointed him to make revolution for the sake of Christianity. He then quoted the following Biblical passage for his justifications:

Go now, you rich men, weep and howl for your miseries that shall come upon you! Your riches are corrupted, and your garments are moth-eaten. Your gold and silver is cankered, and rust of them shall be a witness against you, and shall eat your flesh as if were fire. You have reaped down your fields in cries of them which have reaped are entered into ears of the Lord of Sabbath. You have lived in pleasure on the earth and been wanton. You have nourished your hearts as in a day of slaughter. You have not, you kill and desire to have and cant obtain fight and war, yet you have not asked, and receive not, because you ask amiss, that you consume it upon your lusts (James 5:1-6).

Okello also said that his "Freedom Fighters" came from Tanganyika, Kenya, Uganda, Rhodesia (Zimbabwe), Nyasaland (Malawi) and Mozambique. They killed 13,635 Muslims and 21,462 were detained. He failed to tell us that his Zaznibar Revolution under the auspices of Nyerere, reminiscent of the Spanish Inquisition which led to the last stronghold of the Muslim State in Spain. On January 11, 1964 Okello commanded the Crusaders that all Arabs (Muslims) between the age of 18 and 55 must be killed. In the next day, the Muslim holocaust began when Okello said in the Radio Zanzibar the following:

I am Fidel Marshal! Okello! You imperialists, there is no longer an imperialist government on this Island. This is now the government of the Freedom Fighters. Wake up you black men. Let everyone of you take a gun and ammunition and start to fight against any remnants of imperialism in this islands. (p. 143).

In the same morning, Okello issued an ultimatum to Jamshid bin Abdullah bin Khalifah bin Haroub (1963-1964), the Zanzibar Sultan: "You are allowed twenty minutes to kill your children and wives and then kill yourself." (p. 145) but he escaped through Mombasa, Kenya. The mainland Africans' support to overthrow the Zanzibar Government was due to the fact that the Crusaders had a large number of modern arms from Kenya and or Tanganyika from where 600 Crusaders invaded Zanzibar Keith Kyle, a British correspondent for East Africa in his articles in the Spectator of entitled "Gideon's (Okello) Voices" (February 7, 1964) and "How it Happened" (February 14, 1964) said that "certain (Christian) members of the Tanganyika Government were involved in Revolution" (Crusade) of Zanzibar.

It is known that the holocaust was so horrendous that 100 Muslims were baked to death in tanuri (the copra-kiln) at Bambi. Following the Muslims holocaust, Abeid Karume (1905-1972), born in Nyasaland (now Malawi) became the President of the People's Republic of Zanzibar. Karume secretly collaborated with the former Tanganyikan President Nyerere, an Islamophobic for the merger of Zanzibar and Tanganyika. Similar situation took place in Mindanao, an Islamic State founded by Sultan Sayyid bin Abu Bakr al-Hadhramy over 400 years before the ascendancy of the Roman Catholic Church in the Philippines and Tanganyika.
 
Back
Top Bottom