Nyerere na Magufuli wanatoa machozi baada ya azimio la bunge kuibinafsisha bandari za Tanzania kwa nchi ya Dubai

Mchumia tumbo yule tena wa uzeeni.
 

Huyu mayala si ndo alikua anasema ni sawa au ni mwingine
 
Dubai ni inchi katika muungano wa falme ya kiarabu yaani uae, kama ilivyo Tanganyika ni inchi katika muungano wa Tanzania
 
Kwahiyo kama wanalia sisi tufanye nini, tusiende shamba?
 
MAGUFULI HAWEZI KUTOA MACHOZI hana Uchungu huo
Vipi Tril 360 aa Makinikia?
Vipi akaunti za Bargaining China?
Mwenye kutoa Machozi ni Nyerere tu
 
Wao ndio waasisi wa udikteta katiba mbovu za one man show
 
Umeandika vizuri.Lakini kumuweka Magufuli kapu moja na Nyerere ni udhalilishaji! Katika Dunia ya Kiliberali tuliyopo Utawala Bora Ndio injini ya Maendeleo ..Magufuli hakuwa muumini wa Utawala Bora! Ndiye aliyekuwa kinara wa kupandikiza Roho ya CCM kushika Hatamu! Aliua spirit ya mijadala na kukosoana.Ndiye alitaka Bunge liwe la Chama kimoja ambapo matokeo yake ndiyo tuliyoayaona juzi!
Kimsingi JIWE ni sehemu ya tatizo hili.Na kimsingi Hawa Wawekezaji walishaanza kujisogeza Tz tangu enzi zake .Yeye mwenyewe alikiri kuwa anamtuma VP SAMIA Kwa wajomba zake Waarabu .
Acheni ujinga Magufuli ni sehemu ya tatizo!
 
Magufuri atoe machozi gani wakati yeye ndiye alipanga na kutekeleza mradi wa kupora uchaguzi akagawa ubunge kama njugu na kuwapora akina Mbowe ubunge wao?.

Wabunge wake aliowapa ubunge ndo wamepitisha azimio kwa 100%.
 
Watoe tuu tena ikibidi wajaze bahari kabisa..

Hao uliowataja huenda walikusaidia wewe kwenye maisha Yako.Wajamaa ni watu wa hovyo sana.
 
Dubai sio nchi ni mji wenye serikali ndani ya shirikisho la UAE
 
Magufuri atoe machozi gani wakati yeye ndiye alipanga na kutekeleza mradi wa kupora uchaguzi akagawa ubunge kama njugu na kuwapora akina Mbowe ubunge wao?.

Wabunge wake aliowapa ubunge ndo wamepitisha azimio kwa 100%.
Alipora ulimwona akipora kwanini hukumkamata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…