Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Mimi ni mshabiki zaidi wa Tanzania kuliko wa ccm. Kama kungekuwa na chama kingine kizuri nisingehangaika na ccm. Ningeacha chama hicho kishike madaraka
Maneno hayo yalitamkwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK HALISI) October8 1995 katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga wakati akihutubia mkutano wa kampeni. Watanzania wengi wanaamini kuwa kama Nyerere angekuwa hai, angekuwa ameshakihama ccm kutokana na chama hicho kupoteza mwelekeo na kukumbatia ufisadi na mafisadi.
Je kikwete,makamba, lowasa,rostam, kingunge,malecela,pinda n.k wanaweza kutamka maneno kama hayo na wako tayari kukihama ccm?