Elections 2010 Nyerere na utanzania

Elections 2010 Nyerere na utanzania

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,263
“Mimi ni mshabiki zaidi wa Tanzania kuliko wa ccm. Kama kungekuwa na chama kingine kizuri nisingehangaika na ccm. Ningeacha chama hicho kishike madaraka“
Maneno hayo yalitamkwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK HALISI) October8 1995 katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga wakati akihutubia mkutano wa kampeni. Watanzania wengi wanaamini kuwa kama Nyerere angekuwa hai, angekuwa ameshakihama ccm kutokana na chama hicho kupoteza mwelekeo na kukumbatia ufisadi na mafisadi.
Je kikwete,makamba, lowasa,rostam, kingunge,malecela,pinda n.k wanaweza kutamka maneno kama hayo na wako tayari kukihama ccm?
 
Siamini iwapo akina kingunge wanaweza kusema maneno ya namna hiyo na kutekeleza kwa vitendo.......
 
Siamini iwapo akina kingunge wanaweza kusema maneno ya namna hiyo na kutekeleza kwa vitendo.......

Hakika hawawezi kunena wala kutenda hayo kwa vile wote hao ni waathirika wa gonjwa SUGU la UFISADI tiba yake PIPOZ PAWAAAAAAAA
 
Nyerere, huwezi kufananisha na kiongozi wowote wa ccm
 
Back
Top Bottom