Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Na kuhani misiba huku unacheka!
asante kwa nyongeza murua .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuhani misiba huku unacheka!
yes. mnasababu ya kumchukia. tena sababu yenyewe ya kipuuzi. kisa tu sio mwenzenu. pamoja na maendeleo yote aliyofanya, hayo yote hamyaoni na hata kukubali japo kidogo jamaa katutoa point moja kwenda ingine. narudia tena kusema. mnatamani mbomoe hata hizi lami alizojenga na mpo tayari kupita hata barabara za vumbi na kusafiri siku 5 toka nanyumbu hadi Dar au kwenda mwanza kwa kupitia nchi za jirani kwa sababu tu ya chuki zenu. mbona mnasomeka vizuri tu.Kwani ana 'nyota' ya kuchukiwa? Huwezi kumchukia mtu bila sababu..kama role yake ipo tuwekee hapa utuelimishe badala ya kutushambulia.
mkuu Kikwete ametujengea barabara 11000km kwa miaka 8-10. watangulizi wake wote kwa pamoja wamejenga 6000km kwa miaka 44. almost two times less.aliyoyafanya JK hata wewe ungeweza kuyafanya , kwani WEWE HUWEZI KUTEUA MAWAZIRI HATA KAMA MARA 5 KWA MWAKA AU KUKAGUA GWARIDE NA KUPOKEA HATI ZA MABALOZI WAPYA ?
hao ndo waTZ. wanachuki zisizokuwa na mbele wala nyuma. kitu kinachotusaidia wote kama barabara, umeme, mashule, mavyuo na kadhalika, bado watu wanaponda. wengine wanaoponda wamesoma shule za kata alizozijenga Kikwete na wamepata hivyo videgree vyao kutoka UDOM. lakini wako bize kwenye mitandao kumtukana Kikwete na kusema hamna alichokifanya. sasa niwaiteje hao kama sio mataahira.Duuh! Teeh! Teeh! Teeh!
Basi Watanzania mna safari ndefu mno! Daah!
Ahsanta sana Mkuu!
mkuu Kikwete ametujengea barabara 11000km kwa miaka 8-10. watangulizi wake wote kwa pamoja wamejenga 6000km kwa miaka 44. almost two times less.
amefikia lengo la waTZ wanaopata umeme 25% na atafika above 30% atakapokuwa anaondoka. watangulizi wake kwa miaka 44 wamewawezesha waTz 11% tu kpata umeme. hivi ni kweli haya hamyaoni? au mnalenu jambo?
hao ndo waTZ. wanachuki zisizokuwa na mbele wala nyuma. kitu kinachotusaidia wote kama barabara, umeme, mashule, mavyuo na kadhalika, bado watu wanaponda. wengine wanaoponda wamesoma shule za kata alizozijenga Kikwete na wamepata hivyo videgree vyao kutoka UDOM. lakini wako bize kwenye mitandao kumtukana Kikwete na kusema hamna alichokifanya. sasa niwaiteje hao kama sio mataahira.
yes. mnasababu ya kumchukia. tena sababu yenyewe ya kipuuzi. kisa tu sio mwenzenu. pamoja na maendeleo yote aliyofanya, hayo yote hamyaoni na hata kukubali japo kidogo jamaa katutoa point moja kwenda ingine. narudia tena kusema. mnatamani mbomoe hata hizi lami alizojenga na mpo tayari kupita hata barabara za vumbi na kusafiri siku 5 toka nanyumbu hadi Dar au kwenda mwanza kwa kupitia nchi za jirani kwa sababu tu ya chuki zenu. mbona mnasomeka vizuri tu.
ni chuki tu kakuna kingine. kupitia kwa JK hata madaraja makuu 3 kati ya 5 aliyoyaahidi nyerere yamejengwa na kikwete. leo hii sio akina malagarasi tu mpaka hata kigamboni jamaa anapambana. lakini hata ile chembe ya kuappreciate haipo. mmekazania tu kuwasifu akina nyerere waliotuvisha matairi ya magari na kutupangisha foleni za kununua chumvi na sabuni. kwenu nyie Kikwete hana jema hata moja, ni chuki tu.hapa HAKUNA CHUKI MJOMBA , BALI KUNA UDADISI WA MAMBO TU , HATUWEZI KUBWETEKA BILA KUULIZA KAMA MBUZI WA SHUGHULI VILE , HUKU MAMBO YAKIENDA KOMBO !
narudia tena; hivi ni kweli Kikwete hakuna hata jema moja alilofanya? uungwana ni vitendo, hata kama ni chuki basi hizi zenu ni extraordinary.Kwani mkapa ni mwenzetu? Mwinyi ni mwenzetu? Nyerere ni mwenzetu? Si mwenzetu kwa lipi labda?
hivyo vi-nchi unavyovisema vimekuta kuna misingi. kikwete ameipokea nchi hii ikiwa ni illiterate kwa zaidi ya 85%. watanzania wengi ni mambumbu kama ulivyo wewe, ndo maana umekazania kumlaumu kikwete badala ya kutafuta mzizi wa tatizo. waliomtangulia wana kila sababu ya kulaumiwa. hebu imagine tanzania ina mtandao wa barabara za taifa km 84,000 tu. chukulia kama kila miaka 10 zingekuwa zinajengwa km 10000 tu kwa miaka 52 ya uhuru sasa hivi tungekuwa na km zaidi ya 52,000. lakini sasa hivi kikwete amejenga 11000 kwa miaka 9-10 wakati watangulizi wake wamejenga km 6000 kwa miaka 44. sasa niwasifu kwa lipi hao watangulizi wake. pamoja na kikwete kukuta msingi mbaya lakini amejitahidi kiasi chake. lazima angalau tuappreciate kwa hiki alichokifanya maana sio hapa. lakini tatizo lenu CHUKI.kwanhni unamlinganisha jk na WALIOMTANGULIA , BADALA YA KUMLINGANISHA NA VIONGOZI WA VI NCHI UCHWARA VISIVYO HATA NA RASIRIMALI KAMA ZETU LAKINI VIMEPIGA MAENDELEO MARA DUFU KULIKO SISI , TENA KWA MUDA MFUPI KULIKO TULIOTUMIA SISI ?
hivyo vi-nchi unavyovisema vimekuta kuna misingi. kikwete ameipokea nchi hii ikiwa ni illiterate kwa zaidi ya 85%. watanzania wengi ni mambumbu kama ulivyo wewe, ndo maana umekazania kumlaumu kikwete badala ya kutafuta mzizi wa tatizo. waliomtangulia wana kila sababu ya kulaumiwa. hebu imagine tanzania ina mtandao wa barabara za taifa km 84,000 tu. chukulia kama kila miaka 10 zingekuwa zinajengwa km 10000 tu kwa miaka 52 ya uhuru sasa hivi tungekuwa na km zaidi ya 52,000. lakini sasa hivi kikwete amejenga 11000 kwa miaka 9-10 wakati watangulizi wake wamejenga km 6000 kwa miaka 44. sasa niwasifu kwa lipi hao watangulizi wake. pamoja na kikwete kukuta msingi mbaya lakini amejitahidi kiasi chake. lazima angalau tuappreciate kwa hiki alichokifanya maana sio hapa. lakini tatizo lenu CHUKI.
ni chuki tu kakuna kingine. kupitia kwa JK hata madaraja makuu 3 kati ya 5 aliyoyaahidi nyerere yamejengwa na kikwete. leo hii sio akina malagarasi tu mpaka hata kigamboni jamaa anapambana. lakini hata ile chembe ya kuappreciate haipo. mmekazania tu kuwasifu akina nyerere waliotuvisha matairi ya magari na kutupangisha foleni za kununua chumvi na sabuni. kwenu nyie Kikwete hana jema hata moja, ni chuki tu.
Umesema kweli kabisa. ametengeneza misingi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kutuacha tukivaa matairi ya gari, tukipanga foleni kwenye maduka ya ushirika kununua chumvi na sabuni, kutuacha tukiwa na vyuo vikuu viwili na kuwa na mambumbumbu wengi ambao leo hii ndo mtaji wa chama chake, kuacha wilaya kama rufiji bila shule hata moja ya sekondari na kwake msoma kukiwa na shule 14 wakati akiondoka madarakani na mengineyo mengi.kumlinganisha NYERERE ALIYETENGENEZA MSINGI WA MAENDELEO KATIKA NCHI HII NA JK NI KASHFA KUBWA SANA !
rudia tena kusoma. hujaelewa nilichokipost. some taratibu. halafu utaelewa hao waliokuanavyo hivyo vitu walifanya nini? kwa nini hawakujenga barabara na mengineyo.hivi NI KITU GANI AMBACHO JK HAKUKIKUTA KATIKA NCHI HII ( NAMAANISHA ALICHO CREATE YEYE , AMBACHO HAKIKUWEPO ) , ZAIDI YA KUONGEZEKA KWA MAUAJI YA TEMBO NA KUSHAMIRI KWA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA ?
Hapana
Amezaliwa Butiama, lakini wakati akija Dar alikuwa akitokea Edinburg University Uingereza (UK) baada ya kuhitimu shahada ya uzamili (Masters degree).