Hongera mkuu, bora nyeto kwa kweli. Nakumbuka miaka 4 ilitopita nilikuwa napiga mishe zangu jijini Dsm alafu nilikuwa na mpenzi wangu alikuwa anaishi Dom. Tukakubaliana kila wiki mbili ndani ya mwezi tuwe tunakutana Lodge Kali Moro. Unajua tena ukiwa na mrembo karibu gharama zoote juu yangu kidume. Lodge siku 3 tu ilikuwa laki na 20. Kila akija nilikuwa namtoa elf 50 , Nauli nilikuwa nampa elf 60 kila akija...hapo sijapiga nauli yangu na msosi kwa siku 3. Nilijikuta kila mwezi zaidi ya laki 6 ilikuwa inapotea kwa ajili ya kutoa upwilu kwa yule manzi. Ningesevu na mimi ningotoa ushuhuda wa IST.