mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Hakika nduguUbahili na domozege pia ni vipaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika nduguUbahili na domozege pia ni vipaji
umelazwa wodi namba ngapi nije kukupa dawa ya kuchua mafua yanakauka sekunde 🙄🙁🙁![]()
Yaani naumwa mafua jomoni.nimetundikiwa drip ya viks lakini hainisaidii jomoni mwenye kujua dawa aje aniletee hapa agakhan ntamshukuru
madaktari wana mitihani kama walimu wa chuo![]()
Yaani naumwa mafua jomoni.nimetundikiwa drip ya viks lakini hainisaidii jomoni mwenye kujua dawa aje aniletee hapa agakhan ntamshukuru
Huyu akija hospital kajikata tu na kiwembe unamwambia avue nguo zote!uangalie kama software nzimamadaktari wana mitihani kama walimu wa chuo
Hujatoa ushuhuda,sema madhara gani mkuu?Nyeto ina madhara mjomba shaur yako...
Tumefanya mchezo huo sana na tukakutwa na madhara na tulipoacha madhara hayo hayakurud tena.
Natoa ushuhuda....sasa kijana endelea
Tumia ARV kama ulivyoelekezwa na daktari ili magonjwa nyemelezi yasikupate, kumbuka pia kuhudhuria clinic kufwatilia maendeleo yako.![]()
Yaani naumwa mafua jomoni.nimetundikiwa drip ya viks lakini hainisaidii jomoni mwenye kujua dawa aje aniletee hapa agakhan ntamshukuru