Nyie ambao mmeacha kuzagamua wake za watu mmewezaje? Tupeni mbinu ili na sisi tuachane

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?

I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior

NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
 
Utashi wako ndio utakao kuokoa kutoka kwenye tabia zozote zile usizozitaka
 
Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?

I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior
Usihofu, we endelea tu. Siku utakapobambwa na kuzagamuliwa utaacha mwenyewe bila kuhitaji ushauri wa mtu!
 
Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?

I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior
 
Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?

I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior

NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
Siyo kila wanaoishi pamoja ni mke na mume, wengine ni sex partners tu, tena wengine uwatuma kabisa hao partners wao wadange ili maisha yaendelee.

Vijana wa leo ni slow learners sijui mnakwama wapi?
 
Hutokaa uache mpaka siku unafumuliwa marinda, your days are being numbered.
 
Back
Top Bottom