DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Usihofu, we endelea tu. Siku utakapobambwa na kuzagamuliwa utaacha mwenyewe bila kuhitaji ushauri wa mtu!Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?
I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior
Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?
I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior
Siyo kila wanaoishi pamoja ni mke na mume, wengine ni sex partners tu, tena wengine uwatuma kabisa hao partners wao wadange ili maisha yaendelee.Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?
I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior
NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.